Kuna uzi hapa jukwaani, tafuta hauna siku hata tatuHuo ufafanuzi nawezaje kuupata na mimi? Msaada
Kwenye shitaka hawajasema katobolewa jicho, hilo limepitaKuna Daktari alitilia Shaka usahihi wa tukio hili Kuwa 100% Sasa na Mimi naungana naye. Daktari alihoji Mtu aliyetobolewa jicho na kung'olewa jino bila ganzi anawezaje...