#COVID19 Arusha: Aliyesimamishwa kwa mzaha wa chanjo ashangazwa na hatua dhidi yake

#COVID19 Arusha: Aliyesimamishwa kwa mzaha wa chanjo ashangazwa na hatua dhidi yake

huyu alipaswa afukuzwe tu sasa mnachunguza kitu gani tena, yeye na wenzake walio shirikiana kufanya upuuzi huu.watimuliwe mara moja.
 
huyu alipaswa afukuzwe tu sasa mnachunguza kitu gani tena, yeye na wenzake walio shirikiana kufanya upuuzi huu.watimuliwe mara moja.
Achana na hiyo roho ya kichawi kumbuka anawatoto wanamtegemea
 
Alikuwa na sababu gani za kujirekodi?

Kwani angechanjwa kimya kimya bila kujirekodi angepungukiwa nini!

Au alitaka amfurahishe mama ili ampandishe cheo?
Wakati mama anachanjwa live alikuwa na lengo gani?

Awafurahishe wazungu?
 
Hoja yake ni yamsingi, kwamba hakufanya maigizo, alichanja kweli.

Na inaweza kuwa verified or not, unajua hii nchi inacheza sana na Maisha ya watu, kwa nini isiwe verified in 2 hours na akahukumiwa kwa halali? A naweza poteza Kazi na stahiki zake just like that!

ILA naye ni kilaza tu!
 
Kama ni kweli anachosema, Basi waziri Ummy hafai kuwa waziri wa TAMISEMI na inabidi aondolewe haraka
 
Kwa hiyo waziri katoa maamuzi bila kuchunguza?

Yaqni katazama tu video clip na kutoa maamuzi
 
Alikuwa na sababu gani za kujirekodi?

Kwani angechanjwa kimya kimya bila kujirekodi angepungukiwa nini!

Au alitaka amfurahishe mama ili ampandishe cheo?
Mkuu.
Siku ukivaa nguo mbovu ndio siku hiyo unakutana na wakwe zako watarajiwa.
 
Achana na hiyo roho ya kichawi kumbuka anawatoto wanamtegemea
alipo kuwa anachezea kazi yake alikuwa hajui kama ana watoto, kumbuka kitendo alicho kifanya sio cha bahati mbaya bali alidhamiria kabisa kuleta au kufanya mzaha kwenye vita hii ya kupambana na janga la korona, kwenye nchi zingine sio tu anafukuzwa bali anachapwa risasi hadharani maana kafanya mzaha wakati Taifa na Dunia ipo ktk vita vya kupambana na korona.
 
Alikuwa na sababu gani za kujirekodi?

Kwani angechanjwa kimya kimya bila kujirekodi angepungukiwa nini!

Au alitaka amfurahishe mama ili ampandishe cheo?
Mbona wanajirekodi watu wengi tu wanapopata chanjo
 
Wabongo wana roho mbaya sana. Huyo jamaa asikilizwe. HIYO VIDEO KUNA UWEZEKANO IMECHEZEWA. Ukweli ujulikane hukumu itoke kihalali.

Aliyeposti Mungu anamuona, huko maofisini ni full kusagiana kunguni.
 
Video haionyeshi kama kachanjwa au hajachanjwa. Hawezi fanya ujinga mbele ya kamera na watu wengi. Naona kama serikali inakurupuka.
 
Jamaaa alichanja pale video editing imefanyika ukiangalia kwa makin pale nurse anageuka kuna kipande kimeondolewa portion ,ya kupress bomba pale

Nurse hawezi kumpa pole kama ni igizo akiwa anaondoka zake .

ACHENI KUONEA WATU
 
Alikuwa na sababu gani za kujirekodi?

Kwani angechanjwa kimya kimya bila kujirekodi angepungukiwa nini!

Au alitaka amfurahishe mama ili ampandishe cheo?
Kwani Kuna Sheria inazuia alichokifanya?

Badala wampongeze ka inspire watu wachanjwe wanamsimamisha kazi?
 
Alikuwa na sababu gani za kujirekodi?

Kwani angechanjwa kimya kimya bila kujirekodi angepungukiwa nini!

Au alitaka amfurahishe mama ili ampandishe cheo?
Kurekodi/kupigwa picha imekuwa normal kwa watu huku wengine wakubwa tu inakuwa siri wakilazwa hadi kifo ndio utajua kumbe alikuwa anaumwa.
 
Kwa nini mnapoteza muda kujadili hili?Kama video imechezewa aliyerekodi si atume tena original ambayo haija editiwa?Ina maana imekosekana kabisa original yake?Halafu Afisa Elimu ni mtu mdogo sana, kulikuwa na sababu gani ya kujitaja taja pale kwamba yeye ni Afisa Elimu ?
 
Aache upumbav arudi darasani akafundishe maana ana akili za kitoto...
Upuuzi ummfanya apate demotion kuacha kazi yenye super scale salary. Bogus kabisa
 
Alikuwa na sababu gani za kujirekodi?

Kwani angechanjwa kimya kimya bila kujirekodi angepungukiwa nini!

Au alitaka amfurahishe mama ili ampandishe cheo?
Hili swali hata mimi nimeuliza. Mambo mengine mtu anajitakia mwenyewe kwa kutotumia busara. Hizi simu zinafanya watu wadhani kila kitu ni lazima upige piche au urekodi clip.
 
Back
Top Bottom