macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kujirekodi kwa ''watu wengi tu'' hakumaanishi ni jambo zuri. Au tuseme unataka kuweka kumbukumbu zako. Kuna umuhimu gani wa ku-post kwenye mitandao? Sisemi kuwa ni kosa bali nataka kusema mambo mengine unaweza kutafuta matatizo yasiyo na umuhimu.Mbona wanajirekodi watu wengi tu wanapopata chanjo