#COVID19 Arusha: Aliyesimamishwa kwa mzaha wa chanjo ashangazwa na hatua dhidi yake

Mbona wanajirekodi watu wengi tu wanapopata chanjo
Kujirekodi kwa ''watu wengi tu'' hakumaanishi ni jambo zuri. Au tuseme unataka kuweka kumbukumbu zako. Kuna umuhimu gani wa ku-post kwenye mitandao? Sisemi kuwa ni kosa bali nataka kusema mambo mengine unaweza kutafuta matatizo yasiyo na umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…