Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Nini kimemuua?Aliyebomoa nyumba ya mwenzake, ambae nyumba yake ilichomwa moto na wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kimemuua?Aliyebomoa nyumba ya mwenzake, ambae nyumba yake ilichomwa moto na wananchi
Ikooo! Twende kwa koko demii eehMay be...takwenya
😀😀😀 Koko demiIkooo! Twende kwa koko demii eeh
Nilipenda wanavosalimiana, mimi ni mfipa. I lived in Arusha for two months.
Wanasema alikuwa mgonjwa pressure kisukari. Sijui Kama ni kweliNini kimemuua?
Hiyo nyumba ya mwenzake alibomoa kihuni,hao kina moja na kikosi chao huwa ndio kazi yao...hawajakutana n mtu mwenye chuma awape za kutoshaJamaa amekufa. Kazikwa juzi
Kayataka mwenyewe huyoWanasema alikuwa mgonjwa pressure kisukari. Sijui Kama ni kweli