Arusha; ataka kujiua kisa mke wake ametoroka.

aise
 
Kuishi na mtu chumba kimoja sio kazi nyepesi lakini unajua inabidi ujivue akili kabisa kabisa iwe nusu chizi nusu kichaa, mwanaume mwenye akili hua haoi au hua anachelewa sana kuoa
Mazoea ni sababu ila isitufanye tuone kama maisha hayawezi kuendelea bila mtu fulani uliyekua unampenda, tujue tu lolote linapita, na tumove on.

Wanaume oeni tu wanawake wastaarabu wapo kibao, usichelewe sababu unaogopa fulani alipata changamoto, kila mtu na story yake, zingine ni nzuri sana
 
Shida hujui unashikilia kwenye nguzo yenye uimara kiasi gani ila km umewahi kung'atwa na nyoka au umewahi kujikwaa kwenye kisiki kikakukwangua ukucha wa dole gumba au kidole cha mwisho cha mguu na ukaishi na kidonda unakiuguza kwa muda lazima utaongeza umakini next time unapopita njia ile ile, na huo sio uoga ila ni umakini ili usije ukafanya yale yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…