Arusha: Catherine Magige alivyotoka ukumbini na kukataa kusaini matokeo

Wajumbe 1261 jumla, lakini mshindi wa Kwanza na wa pili wamevuna kura 1779, alafu magige 213, Asanterabi 196,swai 141,mollel 95, Martha 50,badi 9 total 2379 kama sijakosea kupiga kwa kichwa. Ila wapiga kura jumla ni 1261 baaasi.
Itoshe tu kusema CCM washahalalisha kufoji uchaguzi bila kujali ni uchaguzi gani
 

Inabidi akubali yaishe. Kwani yeye ni mwanasiasa wa muda mrefu? Ahamie Pwani. Atapita bila kupingwa.
 
Alitgemea chu.....pi yake kupata alichokihitaji pumbavu
Dah huyu siku alipoingia mjengoni
Wala sikustuka πŸ˜„ ila nlishangaa
Ktk watu wanaoweza kusema tunamjuwa mm mmoja wapo
Ngoja tuishie hapa

Ova
 
Dah huyu siku alipoingia mjengoni
Wala sikustuka πŸ˜„ ila nlishangaa
Ktk watu wanaoweza kusema tunamjuwa mm mmoja wapo
Ngoja tuishie hapa

Ova
Hivi ilikuwaje akataka atambulike kama mke msibani mara atake marehemu azike yeye kumbe ni mchepuko tu
 
Hivi ilikuwaje akataka atambulike kama mke msibani mara atake marehemu azike yeye kumbe ni mchepuko tu
Nmekaa naye muda tu hapo mafele, garden majirani kipindi hicho kapangishiwa πŸ˜„ Cathy Cathy kweli πŸ˜„
Ubunge bado hapoooo πŸ˜„
Ila tuliishi vzr bana alipenda kuniita bahariaaa,hebu tuyaache bana πŸ˜„

Ova
 
Akatekeleze kwa vitendo kauli ya ujasiriamali unalipa vijana mjiajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…