Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,976
- 6,398
Mjumbe mmoja anachagua watu wawili hivyo kama wajumbe wako 1261 maana yake ni 1262x2= 2524
Wajumbe 1261 jumla, lakini mshindi wa Kwanza na wa pili wamevuna kura 1779, alafu magige 213, Asanterabi 196,swai 141,mollel 95, Martha 50,badi 9 total 2379 kama sijakosea kupiga kwa kichwa. Ila wapiga kura jumla ni 1261 baaasi.
Itoshe tu kusema CCM washahalalisha kufoji uchaguzi bila kujali ni uchaguzi gan