Yoav Gallant
JF-Expert Member
- May 23, 2023
- 2,976
- 6,398
Wajumbe 1261 jumla, lakini mshindi wa Kwanza na wa pili wamevuna kura 1779, alafu magige 213, Asanterabi 196,swai 141,mollel 95, Martha 50,badi 9 total 2379 kama sijakosea kupiga kwa kichwa. Ila wapiga kura jumla ni 1261 baaasi.
Itoshe tu kusema CCM washahalalisha kufoji uchaguzi bila kujali ni uchaguzi gan
Sana Cathy enzi zake banaAmechoka
Uso umechoka sijui ni cream sijui stress za uchaguzi au mengineyo 😁Sana Cathy enzi zake bana
Hapo nazungumzia hajaingia
Kwenye ubunge na sikutegemea
Kama angeweza kuwa mb 😄
Alikuwa 🔥
Ova
Cream +make upsUso umechoka sijui ni cream sijui stress za uchaguzi au mengineyo 😁
CCM chama cha kipumbavu sana.Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha.
Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa uamuzi wa mwisho. Katika uchaguzi uliomalizika usiku wa kuamkia leo, Wanasiasa Martha Kivunge na Chiko Issa wameibuka kidedea katika kura za maoni za kusaka ubunge wa Viti Maalum (UWT) Mkoa wa Arusha baada ya kuibuka na idadi ya kura nyingi katika uchaguzi uliohusisha wagombea wengine sita.
Msimamizi wa uchaguzi huo ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kennani Kihongosi alitangaza matokeo ya uchaguzi huo kuwa Martha alipata kura 1004, akifuatiwa na Chiko aliyepata kura 775. Wajumbe wa uchaguzi huo walikuwa 1,261. Kura halali zilizopigwa zilikuwa 1,245 na kura saba ziliharibika.
Wagombea wengine na idadi ya kura walizopata ni pamoja na Catherine Magige (213), Asanterabi Lowassa (196), Zaytuni Swai (141), Navoi Mollel (95), Martha Amo (50) na Lilian Badi (9).
Chanzo; MsumbaNews
The late kuzura madoda jamaa alikuwa TRA sio. Cathy yuko karibu na tulia atambeba swahiba wakeHuyu aliwahi kugombea marehemu msibani akidai alikuwa mumewe. Alichapwa vibao na mjane wa mume.
Kumbe ubunge ni biasharaNdoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha.
Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa uamuzi wa mwisho.
Najua.M
Siyo kila hesabu ni kujumlisha na kutoa tu
Mkuu umetaja shivaz nishadinda usitaje tenaAkiwa mbunge alidanga na mume wa mtu
Sasa kama kudanga kuna lipa, aende Shivaz kuendea na kudanga