Ndiyo ubaya wa nchi kuwa centralized. Ili uendelee lazima makao makuu wakurehemu.
Si ndiyo serikali ya muda huo ilikuwa inawarehemu. Sasa imeacha kuwarehemu. Tungekuwa hatuko centralized hivyo ungeshangaa mameya wanapeleka bids za kuandaa mkutano. Anayeshinda anachukua hata kama ni Sumbawanga au Tunduru.Sidhani kama hilo ni tatizo mbona miaka yote tulikuwa ni centralized lkn bado AICC ndiyo uliokuwa ukumbi pekee wa Mikutano ya Kimataifa Tanzania hivyo kama Mkutano mkubwa wa Kimataifa ulifanyika Tanzania ndege zote zilielekea Arusha City, hata kama ni Raisi wa USA alitua KIA, leo hii wameleta Dar, tena cha ajabu ukumbi wa Mwalimu Nyerere wamejenga sehemu ambayo ni ya eneo la wazi, wamemega Gymkhana tena kama Sheraton walivyofanya .
Pengine na kufungia Mererani kumechangia.Kiukweli Arusha ya sasahiv sio ile ya miaka mitano kurudi nyuma, hali ya uchumi ni mbaya sana, wananchi wanataabika sana pale
Hivi mpinzani mmoja aliwezaje kuusumbua mkoa? Tena lema alikuwa anaongoza kajimbo tu.Mkuu Brand Imekufa Baada ya Lema,Ngoja Gambo Afanye Yake.
vipaumbelešHatujui kujenga uchumi, huo ndiyo ukweli ni lazima tujifunze, AICC ilikuwa inasaidia sana uchumi wa huo Mji hata kuufanya tu ujulikane nje ya Tanzania kama Mikutano mikubwa ingefaynikia huko, fikiria enzi za Mandela kama msuluhishi wa Rwanda/Burundi Mzee Mkapa (RIP) alikuwa anafanyia Mikutano AICC Arusha City, Mikutano mikubwa ikienda Arusha Uwanja wa ndege wa KIA unatumika unajaa ndege na wageni hii ingesaidia sana uchumi wa huko, sasa kila kitu wamehamishia Dar, Dar ambayo tayari ina vyanzo vya kutosha vya mapato, ...
Kama alishindwa kufanya yake huko kwao ndiyo ataweza hapo?Mkuu Brand Imekufa Baada ya Lema,Ngoja Gambo Afanye Yake.