Arusha city Geneva ya Afrika imegeuka Mogadishu ya Tanzania

Labda wanataka mji uwe kama Lindi ili kuwakomoa akina fulani... Hawapendi tena kusikia habari za Northern circuits [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Wacha aendelee kushangaa sasa hv mambo ni bam bam Dodoma city njooo mji wa kiserikali uone Mtumba kama ulaya vile
 
Hizi ndizo akili zao, wamejaza funza kichwani, miaka 5 si mingi tutapita hapa ku evaluate huu upuuzi wako...
 
AICC ni kielelezo tu cha jinsi sector ya hotel ilivyoyumba,Na sector zingine
 
Aisee Arusha imekua kituko, maana miradi yooote iliyokua ikiichangamsha Arusha haipo, Arusha ilichangamshwa na
1. Tanzanite ambayo sasa haipatikani tena kimagendo, haya madini yalichangamsha mji na watu walikua na pesa nyingi mnoo
2. Utalii na Chain ya biashara zilizoizunguka, kilimo, hotel n.k. sasahivi Utalii Chali na Mahotel ndio hayo yanageuka hostel
Arusha matajiri wengi wamefilisika yaani wamekua average people kabisaaaa
 
Siasa za Lema yule aliyekimbilia Canada ndio zimeifikisha Arusha hapo ilipo,

Lema alikuwa anawadanganya Wana Arusha kuandamana kumbe hawajui wanaharibu uchumi wa mji wao.

Baada ya kuonekana Arusha hapakaliki tena wakaamua kupeleka mikutano Dar kusikokuwa na vurugu na aibu za maandamano yasiyo na tija.

Hapo AICC walikuwa wanafanyia pia mikutano ya TLS chama cha wanasheria Tanganyika, akaja Lisu na gundu lake , kakiharibu chama, kwa kukigeuza kijiwe cha siasa zake za maji taka, TLS imefutwa , hakuna Mikutano tena, ya Arusha iliyokuwa ikifanyika Mara Mbili kwa mwaka na Arusha ilikuwa ikihost si chini ya wanasheria elfu mbili kwa siku tano.

Ndio mtaona madhara ya siasa za kitoto walizokuwa wakifanya Chadema, haya Lema ndio huyo kakimbilia Canada na Lisu yupo Ubelgiji, wanaopata madhara ni wengine.
 
Kiukweli Arusha ya sasahiv sio ile ya miaka mitano kurudi nyuma, hali ya uchumi ni mbaya sana, wananchi wanataabika sana pale
Arusha ilikua na mbunge upumbavu sana.
Alikua na siasa za kijinga sana. Harakati muda wote wakati yeye ndiye mbunge aliyekua madarakani .
Lema ana siasa za kijinga sana. Ana siasa za fitina ndani na nje ya chama chake jambo wakati alikua wazi kuwa madiwani wake walikua na uwezo mkubwa kuliko yeye hali iliyokuwa inampa woga ndani na nje!!
Chadema ijipange upya ije na sura nyingine sio zile za vurugu na maandamano yasiyo na tija.
 
Mtoa mada una kichwa kibovu juu ya uchumi na drivers zake. Unataka kusema huko nyuma mikutano yooote ilifanyika Arusha tu? Nachojua mikutano ilikuwa inafanyika kotekote hata kabla ya kuwa na AICC (ya Dar).
Uchumi ni namba na namba huwa hazidanganyi wala kudanganywa. Kinachoendelea sababu zake si kuwepo kwa ukumbi mpya Dar, ni mabadiliko ya uchumi tu yanayoendelea nchi nzima na hata kama ukumbi wa Dar usingejengwa bado AICC (Arusha) au Arusha kwa ujumla kusingekuwa na mikutano kama ivyokuwa huko nyuma. Tatizo hamkujua drivers za uchumi wa Tanzania ambao private sector yake ilihitaji mkono wa serikali kwa zaidi ya 90% kwa angalau miaka 30 ijayo kabla ya kuiacha. Unakata tawi ulilokalia ili kumuangusha nyani aliyeko nchani mwa tawi hilo.

When it comes to economics and resources management, there are two ways of handling it, resources allocation and resources location(distribution). Economics preferred "resource allocation", politics preferred " resource distribution".

Lakini pia wakati unasikitishwa na kufifia kwa jiji la Arusha kutokana na kujengwa kwa ukumbi wa mikutano Dar, usiache kuumiza kichwa ikiwa majengo makubwa na mazuri yaliyojengwa Dar (ima na serikali yenyewe au mifuko ya hifadhi) yatakuwa yanatumikaje, na hali itakuwaje miaka10-20 ijayo ukizingatia majengo yaliyo mengi kati ya hayo yamejengwa kwa kodi za wanyonge katika kipindi cha miaka chini ya 30 iliyopita! So let's enjoy the outcomes of our choice.

#5tena
 
Wahi Milembe. Si kwa upoloto huu!
 

STROKE [emoji41]
 
Itakuwa Lema alikuwa Bwana wako si bure
 
Kafanyieni mikutano ya Vipaimara , ubatizo , vicoba na kuvunja kamati za harusi.


Wewe Ni Beberu usitupangie.


"Nasema uongo ndugu zangu"

Itikia "Kweli Babaaaaaaaaaaaaaaaaa"
 
Mtoa mada Leo akili yako imetulia kidogo maana nyie vijana wa Lumumba kazi yenu ni mapambio Tu..
Sidhani kama wapiga pambio wenzio wataelewa hii mada yako
 
Kwan Gambo hajui ichi kilio chenu ?

Maana kuna kipindi mzee wa canada nilimsikiaga bungen akilia lia juu ya utalii wa chuga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…