Arusha city Geneva ya Afrika imegeuka Mogadishu ya Tanzania


Ndiyo, hatukupaswa kujenga ukumbi mwingine mbali na AICC sana sana kama kulikuwa na uhitaji tungeuboresha zaidi, kwingine kujengwa vitu vingine kuna mambo mengi Mikoa zaidi ya 20 ya Tanzania inaweza kufanya na kila Mkoa ukawa na kitu chake cha kipekee, Arusha ingeachwa uwe Mji wa International conferences tena tungeenda mbali na kuufanyia promotion hata confrences za nchi nyingine ziletwe AICC, ...
 
Hiv ni wewe au mwingine amecomment kupitia account yako? Kumbe kuna muda akili huwa zinatulia kabisa unaweza kuona haya?! Aiseee[emoji849]
 
Natoka arusha na ulichokiongea ni sahihi kabisa
Huwezi kuzuia kumbi zisijengwe eti kisa kuna kumbi nyingine
Tens ikiwezekana hata kila kanda kuwe na ukumbi wenye hadhi ya kimataifa
Muhimu ni kuongeza ubunifu lakini si kusema kwamba serikali imeamua kuiua aicc wakati kumbi zote ni za serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…