LGE2024 Arusha: Godbless Lema awatimua Maofisa wa TAKUKURU kwenye semina ya Wagombea wa CHADEMA, adai Wameacha uozo ufanywe kwenye Uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huku ndo Mchengerwa anapoanza kulipeleka Taifa, Kwa asilimia 💯 lema yupo sawa
 
Sasa nimeelewa kwa nini Makamu Mwenyekiti wa Chadema alilalamikia kuwepo wa Rushwa kwenye chaguzi za Chama! Kisha alikosa ushirikiano wa kutosha kutoka makao makuu ya Chama! Huu ndiyo ulikuwa muda muhimu wa Chadema kuwa Karibu na TAKUkuru ili kumaliza utata!
 
SIO JAMBO LA KIUNGWANA.
HII INAMAANISHA ANAUNGA MKONO MATENDO YA RUSHWA.ITAWAGHARIMU CHADEMA KWENYE CHAGUZI
Kati ya Lema aliyewatimua TAKUKURU ambao wameshindwa kutimiza wajibu wao katika jamii na hao YAKUKURU nani si muungwana .
Polisi wanachukua pesa barabarani mchana kweupe bila aibu , je, kuna haja ya kuendelea kuwepo TAKUKURU katika nchi hii?
 
Wametimuliwa kwa aibu sana! inadaiwa wamenyamazia maiti kuandikishwa
 
Uwezo wako ni duni sana
 
Huenda walitumwa na CCM kupeleleza mikakati ya Chadema.
CAUSTION: DO NOT TRUST STRANGERS.
 
Tukimpata mtu sahihi wa kuongoza nchi afanye tu anavyotaka na hawa watu, kwenye kusaka maendeleo hakuna muda wa kuangaika na wapuuzi.

Huko mbele labda watu wenye uwezo wa kweli wa kuongoza nchi wasikilizwe. Kwa sasa ni watu wa hovyo tu ndio wanaweza sikiliza hadithi za Mbowe na genge lake la wahuni wanastahili kupewa madaraka.
 
Lema kashaanza kujinasibisha na unabii kwasabab anajua kwenye ubunge hatoboi anataka mwakani akikosa ubunge afungue kabisa ajipatie ulaji
 
Lema kashaanza kujinasibisha na unabii kwasabab anajua kwenye ubunge hatoboi anataka mwakani akikosa ubunge afungue kabisa ajipatie ulaji
Hawana uwezo Raisi Samia anawatangwa mchana kweupe kwenye uchaguzi.

Sio kwamba Samia na CCM wanafanya kazi nzuri, ni kwamba CDM ni chama cha hovyo kisicho na mvuto.

Walichobakiza ni kulilia maandamano wanayolazimisha kupita sehemu zenye mikusanyiko ya watu, huku wakiombea vurugu zitokee katika harakati zao.

Ni wapuuzi tu ndio wanaweza kuwa wafuasi wa CDM,
 
Chama kimeshindwa kusimamisha wagombea kwenye vijiji vyote Sasa kitaweza Nini?
 
Chama kimeshindwa kusimamisha wagombea kwenye vijiji vyote Sasa kitaweza Nini?
Uwa hawakosi sababu za kutunga huko mbele we subiri.

Hakuna kingine CDM wanaweza zaidi ya majungu,

Majungu ambayo wanajitekenya na kucheka wenyewe.

CDM hawana ushawishi wa kumshinda Samia pamoja na mapungufu yake.

Subiri sasa hadithi zao za kutunga wakati hata viongozi wao wakuu hawajajiandikisha kupiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…