LGE2024 Arusha: Godbless Lema awatimua Maofisa wa TAKUKURU kwenye semina ya Wagombea wa CHADEMA, adai Wameacha uozo ufanywe kwenye Uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Mgonjwa ni wewe unayetakiwa kupona,chadema imeokoteza watu hakuna kura za maoni sasa pana kundi la watu au viongozi!
Hujajibu swali langu hata moja. Tuwaache chadema waokoteze wagombea, kama inavyodai,, hayatuhusu. Jibu swali. Uliona ngumi na lawama za teuzi kwenye vyombo vya habari au uliziba masikio.
 
Hujajibu swali langu hata moja. Tuwaache chadema waokoteze wagombea, kama inavyodai,, hayatuhusu. Jibu swali. Uliona ngumi na lawama za teuzi kwenye vyombo vya habari au uliziba masikio.
Na bado waliopiga kura za maoni hawakuwa na kadi. Waliokotwa Ili wakapate mpunga toka kwa wagombea 5000 kila mtu.
 
Takukuru walikwenda wakiwa na nywele kichwani kwenye mkutano wa Chadema wakafurushwa na kuondoka na vipara!
 
Wamefurushwa kama mbwa koko! Una la kusema zaidi?
 
Ni maneno ya kutoa kichwani kwako tu na kujiaminisha.

Hata alipofariki wale waliokuwa wanajipanga barabarani na kumlilia aliwapangq si ndio.

Magufuli alikuwa baraka ya muda mfupi Tanzania. The good don’t last.
Magufuli alikuwa shetani mkuu wa Taifa!
 
Lema na sifa za Kijinga.Hili bado ni toto na bado jingajinga. Sijaona jambo la maana hapo kuwafukuza TAKUKURU.Unapigiwa makofi ya mhemko lakini ulilolifanya liliatakiwa lifanywe na mtu ambaye yupo njiani kupelekwa Mirembe Hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…