Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
La kuzuia mawakala wa serikali dhalimu kujikosha mbele za ummaKwa kosa gani?l
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La kuzuia mawakala wa serikali dhalimu kujikosha mbele za ummaKwa kosa gani?l
Cha kina drama sana hiki hakina mambo ya maana zaidi ya upuuzi na utoto!
Chadema wanalalamika CCM kipita bila kupingwa chaa ajabu wao ndo wanawaachia tu wapiteUwa hawakosi sababu za kutunga huko mbele we subiri.
Hakuna kingine CDM wanaweza zaidi ya majungu,
Majungu ambayo wanajitekenya na kucheka wenyewe.
CDM hawana ushawishi wa kumshinda Samia pamoja na mapungufu yake.
Subiri sasa hadithi zao za kutunga wakati hata viongozi hawajajiandikisha kupiga kura.
Chadema!Inachekesha sana lakini kuona focus ya makosa ya kila aina inaelekezwa kwenye chama kimoja, kisicho na uwezo wowote wa maana.
Kama kuna makosa dhidi ya watanzania, kama rushwa, wizi wa Mali ya umma, matumizi mabaya ya madaraka, na mengine mengi, wewe unafikiri Takukuru wangeshinda ofisi za chama gani?
Uwa hawakosi sababu za kutunga huko mbele we subiri.
Hakuna kingine CDM wanaweza zaidi ya majungu,
Majungu ambayo wanajitekenya na kucheka wenyewe.
CDM hawana ushawishi wa kumshinda Samia pamoja na mapungufu yake.
Subiri sasa hadithi zao za kutunga wakati hata viongozi hawajajiandikisha kupiga kura.
Sawa CDM hawana ushawishi.Uwa hawakosi sababu za kutunga huko mbele we subiri.
Hakuna kingine CDM wanaweza zaidi ya majungu,
Majungu ambayo wanajitekenya na kucheka wenyewe.
CDM hawana ushawishi wa kumshinda Samia pamoja na mapungufu yake.
Subiri sasa hadithi zao za kutunga wakati hata viongozi hawajajiandikisha kupiga kura.
Uliona ngumi na lawama za uandikishaji na wateuliwa wasiotakiwa kwa chama chetu ccm nchi nzima au unajifyatua nati. Takukuru wanafanya kazi kwa chama kimoja tu ? Drama tunazifanya sisi ccm. Usijitoe ufahamu. Tuseme ukweli ili tupone.Cha kina drama sana hiki hakina mambo ya maana zaidi ya upuuzi na utoto!
Samia ni very weak president, ingelikuwa CDM ni chama cha mkakati; kwa mbinu na chenye watu sahihi Samia hatoboi na chama chake.Chadema wanalalamika CCM kipita bila kupingwa chaa ajabu wao ndo wanawaachia tu wapite
Ni maneno ya kutoa kichwani kwako tu na kujiaminisha.Sawa CDM hawana ushawishi.
Haya tuambie sababu kuu ya Magufuli kuendesha wizi wa kura na ubakaji wa uchaguzi mkuu wa 2020 nchi nzima
Mgonjwa ni wewe unayetakiwa kupona,chadema imeokoteza watu hakuna kura za maoni sasa pana kundi la watu au viongozi!Uliona ngumi na lawama za uandikishaji na wateuliwa wasiotakiwa kwa chama chetu ccm nchi nzima au unajifyatua nati. Takukuru wanafanya kazi kwa chama kimoja tu ? Drama tunazifanya sisi ccm. Usijitoe ufahamu. Tuseme ukweli ili tupone.
CDM ilikua na semina yao, hao TKKR walialikwa?! ...nkKwa kosa gani?
Dola huwa ina "namna yake ya kulipiza" I hope wataitumia hiyo namna wakati muafaka ukifikaNabii wa Mungu, Godbless Lema, leo amekitendea haki Cheo Chake cha Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, baada kuwatimulia mbali Maofisa wa TAKUKURU waliohudhuria semina ya Wagombea wa Uenyekiti wa Serikali za Mitaa.
Nabii Lema ambaye Unabii wake juu ya Mambo kadhaa ya Tanzania Umetimia na kupitiliza, amewaambia Maofisa hao wa TAKUKURU kwamba Wameacha uozo kwenye Uandikishaji uliofanywa na viongozi wa serikali halafu wanakimbilia kuleta pua zao kwenye Semina zisizo na Makando kando za Chadema.
View attachment 3146379View attachment 3146382View attachment 3146387
Binafsi Naunga Mkono Jambo hili
=====
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amewafukuza maofisa watatu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) kwenye semina ya wagombea wa wenyeviti wa mitaa wa chama hicho.
Lema aliyekuwa mgeni rasmi leo Novemba 7, 2024 katika mkutano huo jijini Arusha, baada ya kuingia ukumbini na kupata utambulisho kuhusu uwepo wa maofisa wa Takukuru waliokuwa meza kuu, alisimama na kusema hakubaliani na uwepo wao.
"Sitakubali muongee na wajumbe wetu wakati mmeshindwa kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wa serikali wakiwemo wasimamizi wa uchaguzi na wasaidizi wao pia waandikishaji wa daftari la wapiga kura kwa vitendo walivyokuwa wanafanya hivyo naombeni muondoke hatuwahitaji hapa,”alisema Lema.
Hata hivyo maofisa hao waliokuwa wamekaa meza za mbele kwa wageni rasmi hawakunyanyuka hadi wasimamizi wa ulinzi wa semina hiyo walivyowafuata na kuwanyanyua kwa nguvu ndipo wakaamua kutoka huku wakizomewa na ukumbi mzima.
Akizungumzia hali hiyo, kwa njia ya simu Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo amesema suala hilo si jema lakini haliwezi kuzuia elimu ya rushwa kuwafikia wananchi.
Soma zaidi katika tovuti ya Mwananchi
Kisicho na mvuto kwako.kama ambavyo ata huyo unayemfanyia uchawa asivyo na mvuto kwa wengine.Kama mgombea wako atawagaragaza kwanini mnawafanyia wapinzani hila na vioja vyakitoto?.Acheni demokrasia ichujue mkondo wake ili wanachi waamue wenyewe kwa haki na usawa.Hawana uwezo Raisi Samia anawatangwa mchana kweupe kwenye uchaguzi.
Sio kwamba Samia na CCM wanafanya kazi nzuri, ni kwamba CDM ni chama cha hovyo kisicho na mvuto.
Walichobakiza ni kulilia maandamano wanayolazimisha kupita sehemu zenye mikusanyiko ya watu, huku wakiombea vurugu zitokee katika harakati zao.
Ni wapuuzi tu ndio wanaweza kuwa wafuasi wa CDM,
Vingereza vingi alafu ujinga mtupu.hapo unajiona una akili kumbe jinga tu.Samia ni very weak president, ingelikuwa CDM ni chama cha mkakati; kwa mbinu na chenye watu sahihi Samia hatoboi na chama chake.
Ugomvi wa Samia kwa sasa ni usalama wazalendo na mafisadi.
Ain’t no body worry about CDM, uhalisia hawana uwezo wa kuendesha nchi; kama una akili zako timamu you have to anticipate their moves after their losses ki kwenda kuwalilia wazungu tu waipe adhabu nchi (so shallow, tactically).
Mimi sio mwenye maamuzi CCM wala sina madaraka serikalini; Lakini ningekuwa kwenye nafasi ya Magufuli kipindi cha renegotiation ya sakata la ACCACIA na kwa kihere-here cha Lissu sisemi Magufuli alitoa order yeyote. Ila ningekuwa kwenye nafasi ya Magufuli I would have approved the hit.
Hakuna mtu mwenye akili timamu za kupoteza muda na wapuuzi against national security matters na watetezi wake wanaokadhania hoja za ujinga eti MIGA.
Siku upinzani ukiwa tayari tutawaunga mkono, huu upuuzi uliopo una wapumbavu wenzao wa kuwa support, god forbid asilete miujiza ya ushindi wao maana ni empty set
Ndugu CDM ni watu wa kutengeneza mazingira ya uchokozi tuVingereza vingi alafu ujinga mtupu.hapo unajiona una akili kumbe jinga tu.
Think bigNi maneno ya kutoa kichwani kwako tu na kujiaminisha.
Hata alipofariki wale waliokuwa wanajipanga barabarani na kumlilia aliwapangq si ndio.
Magufuli alikuwa baraka ya muda mfupi Tanzania. The good don’t last.
Sasa huko walikuwa wanatafuta nini wakati ni suala la ndani la Chama?Nabii wa Mungu, Godbless Lema, leo amekitendea haki Cheo Chake cha Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, baada kuwatimulia mbali Maofisa wa TAKUKURU waliohudhuria semina ya Wagombea wa Uenyekiti wa Serikali za Mitaa.