Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha sawa bibie.hahahahah avatar imechukua nafasi fanya mchakato utanipa mrejesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sawa bibie.hahahahah avatar imechukua nafasi fanya mchakato utanipa mrejesho
Dada kumbe ushapita chugga...aiseeKama hivyo sawa swahiba kwa sababu kuna watu mna heshima zenu sasa kuja kuvuliwa nguo hadharani haitakuwa powa kabisa.
Sawa swahiba mpe tips ila usisahau kumwambia kuna mnada soko la Mbauda, Krokon na hata Kilombero pia huenda akapata anachohitaji.
Soko la bidhaa gani bibie maana inategemea masoko ya kawaida, SuperMarkets au Shopping Malls..kuwa specific kidogoWana jamvi kwema?? Ni hivi jamanii mgeni firm dar...nipo Arusha.... Maeneo ya Moshono so naomba wadau mnipe tips chache kuhusu arusha haswa sehemu za masoko kama k/koo, manzese ndo muhimu hayo.
Tchao
hunter upo Chugga?Sina tips zaidi ya kukutongoza kama kweli we ni Ke.
Hahahaaaa. Nimekaa sana huko kaka tangia mdogo.Dada kumbe ushapita chugga...aisee
Hapana hunterhunter upo Chugga?
Naona fursa unachangamkia hahahHapana hunter
Hunter wanasema hizi fursa hazijirudi mara mbiliNaona fursa unachangamkia hahah
Kweli kabisa hunter..kazi kwakoHunter wanasema hizi fursa hazijirudi mara mbili
Nice..nilikuwa sijui aisee HongeraHahahaaaa. Nimekaa sana huko kaka tangia mdogo.
Hahaaa. Ahsante sana.Nice..nilikuwa sijui aisee Hongera
Hiyo Serenge ya kichwa cha uzi hiyo!Wana jamvi kwema?? Ni hivi jamanii mgeni firm dar...nipo Arusha.... Maeneo ya Moshono so naomba wadau mnipe tips chache kuhusu arusha haswa sehemu za masoko kama k/koo, manzese ndo muhimu hayo.
Tchao
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Hahaaa. Ahsante sana.