Arusha i am in town

Arusha i am in town

Kama hivyo sawa swahiba kwa sababu kuna watu mna heshima zenu sasa kuja kuvuliwa nguo hadharani haitakuwa powa kabisa.

Sawa swahiba mpe tips ila usisahau kumwambia kuna mnada soko la Mbauda, Krokon na hata Kilombero pia huenda akapata anachohitaji.
Dada kumbe ushapita chugga...aisee
 
Wana jamvi kwema?? Ni hivi jamanii mgeni firm dar...nipo Arusha.... Maeneo ya Moshono so naomba wadau mnipe tips chache kuhusu arusha haswa sehemu za masoko kama k/koo, manzese ndo muhimu hayo.
Tchao
Soko la bidhaa gani bibie maana inategemea masoko ya kawaida, SuperMarkets au Shopping Malls..kuwa specific kidogo
 
Wana jamvi kwema?? Ni hivi jamanii mgeni firm dar...nipo Arusha.... Maeneo ya Moshono so naomba wadau mnipe tips chache kuhusu arusha haswa sehemu za masoko kama k/koo, manzese ndo muhimu hayo.
Tchao
Hiyo Serenge ya kichwa cha uzi hiyo!
 
Back
Top Bottom