Arusha i am in town

Arusha i am in town

kido54

Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
23
Reaction score
9
Wana jamvi kwema?? Ni hivi jamanii mgeni firm dar...nipo Arusha.... Maeneo ya Moshono so naomba wadau mnipe tips chache kuhusu arusha haswa sehemu za masoko kama k/koo, manzese ndo muhimu hayo.
Tchao
 
Mmmh. Hilo pekee au una lingine mdada.

Kama ni hilo tu nadhani wenyeji unao sio mbaya wakakupa hizo tips na pia ndio njia rahisi kuliko hii unayotaka kuitumia tena ukizingatia we ni mdada mmh. Usipokuwa makini utapata zaidi ya hizo tips.

Take care mwaya.
 
ni cheki PM.niko nyuma ya Club D hapa...twaweza jamiiana(socialize) na nikakufahamisha mji kwa nafasi,kama hutajali
 
Mmmh. Hilo pekee au una lingine mdada.

Kama ni hilo tu nadhani wenyeji unao sio mbaya wakakupa hizo tips na nadhani ndio njia rahisi kuliko hii unayotaka kuitumia tena ukizingatia we ni mdada mmh. Usipokuwa makini utapata zaidi ya hizo tips.

Take care mwaya.
Zaidi ya tips ni Sehemu ya tips ujue[emoji39]
Mwache mgeni huyu aje kwangu, kwa maana tips zote za kuhusu Geneva ya Tz ninazo[emoji40] [emoji125]
 
Hahahaaa. Hivyo swahiba na wewe tips unazo. Ila ana kamba mguuni huyo asije akaja kukuadhiri hapa jukwaani sababu nitakosa pa kujificha swahiba.

Sababu walio wengi hawachelewi kuja na nyuzi.
 
Hahaha usiogope swahiba, huyu kuku mbona mwenyeji sema anazuga na hiyo kamba, mjinga-mwerevu nimeng'amua.
 
Kama hivyo sawa swahiba kwa sababu kuna watu mna heshima zenu sasa kuja kuvuliwa nguo hadharani haitakuwa powa kabisa.

Sawa swahiba mpe tips ila usisahau kumwambia kuna mnada soko la Mbauda, Krokon na hata Kilombero pia huenda akapata anachohitaji.
 
Umetoka Dar hadi Arusha hujajua unakwenda kufanya nini

karibu A town kuna sehemu inaitwa kwa mrombo kuna nyama ya mbuzi hakikisha mwenyeji wako anakupeleka kula nyama
Ohooooh black beauty huko unakoenda mbali sasa, kipindi hiki ukipata mgeni cha kwanza kumwonyesha ni Nyumba ya Ibada na mengine atajiongeza[emoji40]
Alafu ujue nyama choma huleta kitambi[emoji125]
 
Wana jamvi kwema?? Ni hivi jamanii mgeni firm dar...nipo Arusha.... Maeneo ya Moshono so naomba wadau mnipe tips chache kuhusu arusha haswa sehemu za masoko kama k/koo, manzese ndo muhimu hayo.
Tchao

Unauza vitu au wataka kununua? sidhani kama pana centralized soko kama kariakoo anyways, mi nipo Masai camp, karibu na Moshono, gerage.
 
Kama hivyo sawa swahiba kwa sababu kuna watu mna heshima zenu sasa kuja kuvuliwa nguo hadharani haitakuwa powa kabisa.

Sawa swahiba mpe tips ila usisahau kumwambia kuna mnada soko la Mbauda, Krokon na hata Kilombero pia huenda akapata anachohitaji.
Ewaaah, sema mimi nitabase sana hapo kwenye "zaidi ya tips"[emoji40] [emoji125]
 
Wana jamvi kwema?? Ni hivi jamanii mgeni firm dar...nipo Arusha.... Maeneo ya Moshono so naomba wadau mnipe tips chache kuhusu arusha haswa sehemu za masoko kama k/koo, manzese ndo muhimu hayo.
Tchao
Tuanze na avatar yako kwanza, uyo ni wewe? Kama ni mwenyewe njoo pm nitakutembeza Arusha bure kabisa.
 
Ohooooh black beauty huko unakoenda mbali sasa, kipindi hiki ukipata mgeni cha kwanza kumwonyesha ni Nyumba ya Ibada na mengine atajiongeza[emoji40]
Alafu ujue nyama choma huleta kitambi[emoji125]

hicho kitambi atapata kwa kula siku moja labda kama anacho tayari😀 kuna wengine wanakwenda nyumba za ibada mara moja kwa mwaka sasa atakwendaje baadhi wanapenda upande mwingine
 
Hahaha, ujue Arusha ni kubwa sana, kwa hiyo avatar yake nafikiri itanichukua miaka miwili kumaliza tips zote.[emoji125]
 
Umetoka Dar hadi Arusha hujajua unakwenda kufanya nini

karibu A town kuna sehemu inaitwa kwa mrombo kuna nyama ya mbuzi hakikisha mwenyeji wako anakupeleka kula nyama

Hii sehemu itabidi niitembelee nikija Arusha next month.

Maana inazungumzwa sana aisee.
 
Back
Top Bottom