jagular
JF-Expert Member
- Oct 26, 2015
- 424
- 245
Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu.
Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya uongozi wa mtendaji kata ya Sekei Bw. Wang'ombe. Madaraka uliopewa kweli unayatendea haki. Bila malalamiko tumeona hata mapaa ya nyumba yanaondolewa sio vibanda tena.