Arusha imekuwa safi baada ya vibanda kuondolewa barabarani

jagular

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
424
Reaction score
245
Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu.

Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya uongozi wa mtendaji kata ya Sekei Bw. Wang'ombe. Madaraka uliopewa kweli unayatendea haki. Bila malalamiko tumeona hata mapaa ya nyumba yanaondolewa sio vibanda tena.
 
Nakuja huko next week kuthibiyisha
 
Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu...
Hao waliondolewa vyuma vimelegea au vimekaza huko waliko?? Hela zimejaa mfukoni mwao?

Njaa haina baunsa ,usiwanyime wakikuomba.
 
Ila Moshi kumekua kuchafu siku hizi...Makopo, mabox yamezagaa sana ,,,Yani mpaka nimeshangaa stendi ya Moshi kuwa chafu vile
 
Picha zipo wapi?
Wewe ni Wang'ombe au Wakala manjipigia promo?
 
Ubaya hawa jamaa wanabomoa mpaka nyumba za watu sio vibanda vya wamachinga tu, mapaa na mabaraza mengi yamebomelewa

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…