The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Salaam!!!
Ukiwa Arusha ni kawaida kusikia mfanyabiashara wa kawaida kuitwa bilionea au utakuta machalii wa chuga wanasema aseee Olutu au Chuwa ni Zimba la kufa mtu yaani ni bilionea wa kuotea mbali baba angu 😅😅😅
Yaani arusha ukimiliki investment yoyote wewe tayari ni bilionea au Zimba.
Sikatai hili la kuita watu bilionea maana vijana wa chuga maana yao huwa ni nzuri tu, kwani wao pia wanandoto za kuwa mazimba.
Utasikia ukipata biashara unatakiwa upambanie hilo kombe kwa ela yote arifuuuu 😅😅
Vijana wapo over rated na hii concept ya kuita watu mazimba......mimi nikikutana na machalii wa home yaani mahomeboy wananiambiaga Tadey saivi ni bilionea wa viatu hapo Dar 🤣🤣🤣
Binafsi nimekutana na homeboy kitaa leo ananiambia yule jamaa X tuliyemaliza nae la 7 saivi ni bilionea wa hatari na wakati huo huwezi mbishia 😆😆