Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Inategemea upo wap na unafanya nini, Sasa biashara haiangalii umasikini wa nchi, inaangalia mahitaji ya kila siku ya wateja... ..Duu mtaji wa m 200 ni Fogo asee kwa hii nchi kulinganisha na ukubwa wa umaskini , Duu ila jf bhna unaeza kata tamaa, m 200 ni ndogo???? Aseeeeee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kama unakatishwa tamaa pole sana..