Inategemea upo wap na unafanya nini, Sasa biashara haiangalii umasikini wa nchi, inaangalia mahitaji ya kila siku ya wateja... ..Duu mtaji wa m 200 ni Fogo asee kwa hii nchi kulinganisha na ukubwa wa umaskini , Duu ila jf bhna unaeza kata tamaa, m 200 ni ndogo???? Aseeeeee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Nimeshapoa mkuu nina songa mbele😊😊😊Inategemea upo wap na unafanya nini, Sasa biashara haiangalii umasikini wa nchi, inaangalia mahitaji ya kila siku ya wateja... ..
Kama unakatishwa tamaa pole sana..
Jack Sparrow acha kushangaa shangaa wewe umezoea uharamia huko baharini.Duu mtaji wa m 200 ni Fogo asee kwa hii nchi kulinganisha na ukubwa wa umaskini , Duu ila jf bhna unaeza kata tamaa, m 200 ni ndogo???? Aseeeeee[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Wewe matayo kausha🤣🤣🤣Jack Sparrow acha kushangaa shangaa wewe umezoea uharamia huko baharini.