Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Ingekuwa maandamano ya Chadema wangekuwa wameshafika hapo kisimani haraka na ku-take actionJeshi la Uokoaji Mkoani Arusha, limeshindwa kumwokoa kijana aliyeshindwa kutoka kisimani hali iliyopelekea afie ndani ya kisima hicho.
Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana huyo, ndiposa alijitokeza kijana aliyetaka alipwe kiasi cha Shilingi Laki Tatu ili autoe mwili na alipolipwa pesa hizo baada ya siku tatu alizamia kisimani na kuutoa mwili wa marehemu.
Chanzo: Ayo Tv.
Ukiachana na story nzima neno hili (ndiposa) sijalielewa.ndiposa
Mwenye dau la elfu 40 ndo huyo aliyefia kisimani alipewa hilo dau ili kumtoa mbuzi, Huyu aliyepewa dau la laki tatu ni huyo aliyemtoa marehemuDuh aiseee dau likapanda kutoaka elfu 40 hadi laki 3
Mwenye dau la elfu 40 ndo huyo aliyefia kisimani alipewa hilo dau ili kumtoa mbuzi, Huyu aliyepewa dau la laki tatu ni huyo aliyemtoa marehemu
Huyo kijana apewe ajiraJeshi la Uokoaji (Zimamoto) Mkoani Arusha, limeshindwa kumuokoa kijana aliyeshindwa kutoka kisimani hali iliyopelekea afie ndani ya kisima hicho.
Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana huyo, ndipo akatafutwa kijana amabye alilipwa kiasi cha Shilingi Laki Tatu na kufanikiwa kutoa mwili wa marehemu.
Kijana huyo aliingia katika kisima hicho chenye urefu wa mita 60 ili kumtoa mbuzi aliyekuwa ametumbukia akiahidiwa kulipwa kiasi cha shilingi elfu 40.
Pia soma Arusha: Afariki baada ya kuingia kwenye kisima chenye mita 60 kumtoa mbuzi
View attachment 3208830
Chanzo: Ayo Tv.
Sasa hilo jeshi la uokozi lina faida gani kama kijana mmoja ambaye hana mafunzo ameweza kutekeleza kazi iliyowashinda askari walioko eneo la tukio?Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana huyo, ndipo akatafutwa kijana amabye alilipwa kiasi cha Shilingi Laki Tatu na kufanikiwa kutoa mwili wa marehemu.
Vijana wa zimamoto si umewaona ni masharobaro hapo.Sasa hilo jeshi la uokozi lina faida gani kama kijana mmoja ambaye hana mafunzo ameweza kutekeleza kazi iliyowashinda askari walioko eneo la tukio?
Maaskari wote walioko eneo la tukio wafukuzwe kazi alaf huyo kijana aliyetoa mwili apewe mafunzo aingie mzigoni.Jeshi lenye mafunzo limeshindwa kumtoa, ila kijana ambaye hana mafunzo ametoa mwili wa marehemu π hii ndo Tanzania nayoijua
Hii habari ililetwa humu wiki iliyopita, sasa tukio hili nalo ni kama lililopita au limejiriwaindi!Jeshi la Uokoaji (Zimamoto) Mkoani Arusha, limeshindwa kumuokoa kijana aliyeshindwa kutoka kisimani hali iliyopelekea afie ndani ya kisima hicho.
Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana huyo, ndipo akatafutwa kijana amabye alilipwa kiasi cha Shilingi Laki Tatu na kufanikiwa kutoa mwili wa marehemu.
Kijana huyo aliingia katika kisima hicho chenye urefu wa mita 60 ili kumtoa mbuzi aliyekuwa ametumbukia akiahidiwa kulipwa kiasi cha shilingi elfu 40.
Pia soma Arusha: Afariki baada ya kuingia kwenye kisima chenye mita 60 kumtoa mbuzi
View attachment 3208830
Chanzo: Ayo Tv.
Kijana huyo aliingia katika kisima hicho chenye urefu wa mita 60 ili kumtoa mbuzi aliyekuwa ametumbukia akiahidiwa kulipwa kiasi cha shilingi elfu 40.πππJeshi la Uokoaji (Zimamoto) Mkoani Arusha, limeshindwa kumuokoa kijana aliyeshindwa kutoka kisimani hali iliyopelekea afie ndani ya kisima hicho.
Baada ya Jeshi la Uokozi kushindwa kumtoa kijana huyo, ndipo akatafutwa kijana amabye alilipwa kiasi cha Shilingi Laki Tatu na kufanikiwa kutoa mwili wa marehemu.
Kijana huyo aliingia katika kisima hicho chenye urefu wa mita 60 ili kumtoa mbuzi aliyekuwa ametumbukia akiahidiwa kulipwa kiasi cha shilingi elfu 40.
Pia soma Arusha: Afariki baada ya kuingia kwenye kisima chenye mita 60 kumtoa mbuzi
View attachment 3208830
Chanzo: Ayo Tv.
Habari ni ya kweli, nimecheki ayo tvHii habari ilivyoletwa sio kweli
Ungesema wameshindwa kutoa mwili kuliko kupotosha alikufa kwa kukosa msaada