KERO Arusha jiji iangalie utaratibu wa bajaji za ngusero hadi chini ya mti(katikati ya mji) kutoza nauli kubwa kwa abiria

KERO Arusha jiji iangalie utaratibu wa bajaji za ngusero hadi chini ya mti(katikati ya mji) kutoza nauli kubwa kwa abiria

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika.

Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya 700/= ambayo nikubwa sana kwa abiri wa hali ya chini. Kama kina mama zetu wenye mitaji midogo wanafikia wengine mpaka kutembea umbali zaidi ya km5 mpaka mjini ilituma wasave kile kiasi kidogo wanachopata ili wakatunze mafilia zao tunaomba mamlaka ziingilie hili.

Awali nauli ilikuwa 500/= atlist wangefanya 600/= kama mamlaka zinavyoelekeza lakini wao wamejipa mamlaka nakufanya nauli 700/=. Tunaomba mamlaka la mji
isaidie hili
 
Back
Top Bottom