Arusha jiji jitaidi mjenge uwanja wenu wa mpira mnatia haibu Nchi.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Uwanja mbovu utafikili tupo namfua Singinda Jiji kubwa la tatu ila ata kuboresha sehemu ya kuchezea kwa kupanda nyasi za kisasa inakuwa issue kweli?

Pale ni jiji la utarihi inakuwaje serikali ya jiji mnakusanya mapato mengi hvyo ila mnashindwa kutoa pesa kidogo kuboresha pitch ya uwanja wenu. Timu zincheza mpira wa hovyo tunabaki kuwalaumu wachezaji kumbe shida uwanja.
 
arusha tuna vipaumbele vya umuhimu,,sio kama kule kwa wenzetu,,,,,
 
Acha ujinga
Unamjua mmiliki wa ule uwanja?unajua unaitwaje?
Ukijibu hayo maswali nadhani Uzi wako utaishia hapa
 
😳😳😳

Uwanja mbovu utafikili tupo namfua Singinda Jiji kubwa la tatu ila ata kuboresha sehemu ya kuchezea kwa kupanda nyasi za kisasa inakuwa issue kweli?

Pale ni jiji la utarihi inakuwaje serikali ya jiji mnakusanya mapato mengi hvyo ila mnashindwa kutoa pesa kidogo kuboresha pitch ya uwanja wenu. Timu zincheza mpira wa hovyo tunabaki kuwalaumu wachezaji kumbe shida uwanja.
 
Eeeh kwani huo uwanja si wa ccm ? Ni tokea lini upo chini ya Halmashauri ya jiji ?

CCM hata kupanda majani tu kunawashinda ,uwanja wote wametoboa mashimo kugeuza frames sasa siku unawashukia watu ndio watatia akili kwanini aliyejenga mwanzo hakutoboa mashimo kila mahali ili msingi uweze kubeba uzito wa uwanja ila ndio hivyo hawa viwavi wanawaza hela tu
 
Yaani jiji lijenge uwanja wa ccm? Aisee
 
Utafikili
Singinda
Utarihi
Zinchenza
Wewe ni fala.

Uwanja wa CCM jiji wanaingiaje hapo??
Uwanja mbovu utafikili tupo namfua Singinda Jiji kubwa la tatu ila ata kuboresha sehemu ya kuchezea kwa kupanda nyasi za kisasa inakuwa issue kweli?

Pale ni jiji la utarihi inakuwaje serikali ya jiji mnakusanya mapato mengi hvyo ila mnashindwa kutoa pesa kidogo kuboresha pitch ya uwanja wenu. Timu zincheza mpira wa hovyo tunabaki kuwalaumu wachezaji kumbe shida uwanja.
 
Utafikili
Singinda
Utarihi
Zinchenza
Wewe ni fala.

Uwanja wa CCM jiji wanaingiaje hapo??
Kama jiji basi jengeni uwanja wenu wenye hadhi ya Jiji.
Arusha ni Jiji maarufu Sana ujue.
Unawashindaje uwanja Kama ule wa Gwambina FC ambao umejengwa na mtu mmoja tu tena mtumishi wa umma.
Arusha mnatuangusha sana
 
Back
Top Bottom