Sidhani kama umemuelewa uliye mnukuu..Hii awamu watu walipiga sana pesa
Sasa ndio tunaona value for money
kama kaanza maigizo mapema hivi je atatoboa 2025? Haya maigizo ulikuwa huwezi kuyasikia awamu ya Jemedari Magufuli.
Hiyo Hospital imejengwa amwamu ya Tano. Awamu hii haijafanya mradi wowote ukakamilika.Yule mwingine alisema Kaskazini wasubiri kwanza na akahamishia miradi yote Gabolite
Nice and congratsRais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,
Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,
ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Mnikumbushe mwendazake alifariki lini?Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,
Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,
ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Hiyo hospital haina hata madaktari mie naishi hapa container njiro umeandika vitu vingine vya uongo. Haiwezekani Ikawa hospital kubwa east Africa kwa kulinganisha hospital zote. Inazidiwa hata na Ile st Joseph iliyopo pale sakina. Sema Wana eneo kubwa wakipata msaada zaidi watakuwa vizuri zaidi
Mwenye chuki ni yule aliyewaambia kaskazini wasubiriHiyo Hospital imejengwa amwamu ya Tano. Awamu hii haijafanya mradi wowote ukakamilika.
Kama unachuki omba ihamishwe.
Huo ni mwanzo tu mkuu...huo ukubwa utauona tu.Hiyo hospital haina hata madaktari mie naishi hapa container njiro umeandika vitu vingine vya uongo. Haiwezekani Ikawa hospital kubwa east Africa kwa kulinganisha hospital zote. Inazidiwa hata na Ile st Joseph iliyopo pale sakina. Sema Wana eneo kubwa wakipata msaada zaidi watakuwa vizuri zaidi
Yule mwingine alisema Kaskazini wasubiri kwanza na akahamishia miradi yote Gabolite
Bado haina quality ya kuitwa hospitali ya utalii. Ipo kama health center au dispensary tu. Muhimu ni kuwa na madaktari waliohitimu na technicians.Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,
Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,
ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Walisubiri lini wakati unaona kuna Maji, Barabara na hospital?Mwenye chuki ni yule aliyewaambia kaskazini wasubiri
Baada ya samia kuwa raisi, maana ingekuwa imeanza kipindi cha jiwe na alivyokuwa anapenda sifa angeitumia hiyo hopspital kutunanga. hata wakati wa kampeini hakuiongelea ndio ujue haikuwepoIlianza kujengwa lini?
Miradi ya Magufuli hiyo, msitudanganye.. Hospitali haziwezi kujengwa kwa miezi 7.Rais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan anazindua mradi mkubwa wa Hosptali ya kwanza ya Jiji iliyopo maeneo ya Njiro Jijini humo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 2.5 hadi kukamilika fedha zilizotolewa na Serikali ya awamu ya Sita,
Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea watanzania maendeleo inasisimua tukiwa na kumbukubu ya Tshs 1.3trilioni alizozigawa hivi majuzi ambazo zitafanya yafuatayo Kujenga madarasa mapya 15,000 ya sekondari,Kujenga madarasa 3,000 shule za msingi shikizi,Kutengeneza madawati 462,795,Kumalizia vyuo vya VETA 32, Magari 25 ya kuchimba visima vya maji,Mitambo 5 ya kujenga mabwawa ya maji,Kujenga ICU 72,Magari ya wagongwa (Ambulance) 395 na ya chanjo 214,Mifumo ya Oxygen hospitali 82,Mitungi ya gesi 4,640,Mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 40,Vitanda vya wagonjwa 2,700,Xray za kisasa 85,CT- Scan 29,MRI hospitali zote za kanda nawahakikishia hakuna atakayekuja kuvunja rekodi hii kwa miaka ya karibuni,
ARUSHA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA
Longido kuna maji, loliondo kuna maji au barabara, simanyiro na maeneo yanayoizunguka je?Walisubiri lini wakati unaona kuna Maji, Barabara na hospital?
Ahhh.. ..Punguza chuki bwana mdogo.Longido kuna maji, loliondo kuna maji au barabara, simanyiro na maeneo yanayoizunguka je?
Ata akili huna.myezi 6 hata jengo la madalasa 2 halija kamilika unasema ana zindua miladi yake ikiwemo HOspitali sema ana zindua miladi ya mwana ume washoka jpmRais Samia Suluhu Hassan aanza kuzindua miradi ya awamu yake, Mmoja kati yake ni Hospitali ya kisasa ya 2.5bl.