Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

Tunajivunia kutibu wageni kabla hatujawafikiria wetu, by the way huenda kukaibuka magonjwa maalumu
 
Ni jambo jema
 
Ata akili huna.myezi 6 hata jengo la madalasa 2 halija kamilika unasema ana zindua miladi yake ikiwemo HOspitali sema ana zindua miladi ya mwana ume washoka jpm
Miezi sita mbona mingi sana mkuu,
Hili ni zao Lake kama walivyosema
 
Sema Wana eneo kubwa wakipata msaada zaidi watakuwa vizuri zaidi

Unaishi Arusha halafu unatumia wana, wakipata kwani wewe huusiki na miradi ya maendeleo ndani ya halmashauri unayoishi?

Hospitali ni mpya hiyo, mapato ya ndani ya almashahuri ndo yameijenga na sasa serikali inakwenda kuweka mkono hapo.

TUIPENDE NCHI YETU.
 

Ziarani leo mama kafurahishwa na jitihada za halmashauri ya jiji kwa ujenzi wa hospitali kwa fedha zao za ndani, na yeye kaamua ataweka bilioni zetu hapo ili wanaarusha wapate hospitali ya kisasa yenye hadhi.
 
Cha maana ni kuboresha huduma

Otherwise watalii Bado wataenda Kenya
 
Baada ya samia kuwa raisi, maana ingekuwa imeanza kipindi cha jiwe na alivyokuwa anapenda sifa angeitumia hiyo hopspital kutunanga. hata wakati wa kampeini hakuiongelea ndio ujue haikuwepo
Hapana mkuu
Hii hospital imejengwa kuanzia 2018, jengo la nyuma wamemalizia this year... Mimi tang wanaanza kujenga nlikuwa hapo

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
2.5 bil? Ina maana imezidiwa hata na hospitali za wilaya!

Tuna safari ndefu sana
 
Yani ndio umejifunza leo? Unakumbuka magu alipitisha sheria ya kuzuia mtu kukosoa data za serikali?
 


2.5B haitoshi kujenga hospitali ya standard za kifaita iwe na lift za wagojwa na machine🤔. Kama wapo serious inabidi watoe ths 50B- 70 B ya wilaya kumbe 😂
 
Acha uongo hospital haijaanza kufanya kazi bado, kwa hiyo madakatari wakae tu hapo bure, subiri ifunguliwe ndo uanze lawama, dah watanzania puuuh,!!!
Hospital ilishaanza kazi tangu January mwaka huu,nimefika pale mara kadhaa,usiseme usichokujua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…