Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

hiyo unayosema hospitali kubwa kuliko sijui EA yote wewe utakuwa huna akili...hiyo ni hospitali ya kuongea ?!!...aisee sifa za kijinga sn hicho kizahanati cha hpo engutoto ndio unawandngny ambao wapo mbali na arusha as if watu hawana macho
 
Kuna watu wanaitwa lumumba buku 7, hawa kazi yao ni kusifia na kukata viuno kama wanawake!

Mleta mada ni mmoja wao usimshangae
 
CCM inogile
 
hiyo unayosema hospitali kubwa kuliko sijui EA yote wewe utakuwa huna akili...hiyo ni hospitali ya kuongea ?!!...aisee sifa za kijinga sn hicho kizahanati cha hpo engutoto ndio unawandngny ambao wapo mbali na arusha as if watu hawana macho
Khaaa
 
Hivi hizo pesa mnazoimba Samia katoa ,Samia katoa, anatoa mfukoni mwake au ni mikopo ambayo walipa kodi watailipa ? Kuweni na wakweli kwa watanzania, nadhani si wakati wa kuwaongoza watu kwa kumwambia uongo. Muigopeni Mungu
 
Hosp imejengwa kitambo na inafanya kazi toka 2019
 
Kwani imeanza kujengwa lini hiyo hosputak??
 
πŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Kila mitu kina mwanzo bro jifunze kuthamini vitu vyetu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
2.5 ni bei ya nyumba za walevi wa kawaida hapo kalolen pesa ndogo
 
Imeanza kujengwa mwezi July mwaka huu baada ya bajeti ya 2021/22 kupitishwa? Maana hiyo ndiyo bajeti ya kwanza ya serikali ya awamu ya 6!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…