Arusha jiji wajengewa hospitali ya kwanza yenye hadhi ya Jiji ya kisasa EAC, Watali sasa kutibiwa Tanzania badala ya Kenya

NA MWAKANI UJE NA TAKWIMU SAWA EEH
 
😍😍
 
sometimes najiuliza, hivi lile dege moja gharama yake inaweza kujenga hospitali ngapi? na wakati huohuo naamini kama nchi hatuwezi kuishi bila national airline, kwamba rais wetu awe anasafiri kwa ndege ya kukodi au abiria ingekuwa aibu. but kama tukiamua kuweka vipaumbele kwa pesa yetu hiihii ya kiafrika tunaweza kujenga huduma zote za muhimu nchi nzima kwa muda mfupi sana. kupanga ni kuchagua.
 
Mkuu unataka tuanze na lipi?
Kila kitu ni muhimu
 
inasikitisha sana .
R.I.P Magufuli,
hii hospitali ilipaswa kujengwa CHATO ili kuhudumia watalii wa Burigi na maeneo jirani.
Arusha ni karibu na Nairobi na KCMC, okay usaliti.
 
inasikitisha sana .
R.I.P Magufuli,
hii hospitali ilipaswa kujengwa CHATO ili kuhudumia watalii wa Burigi na maeneo jirani.
Arusha ni karibu na Nairobi na KCMC, okay usaliti.
hiyo chato sasaivi vumbi kama vumbi zingine tu, usitoneshe watanzania vidonda tafadhali. mwacheni Rais afanye kazi yake.
 
Acha uongo hiyo hospitali tangu mwaka 2018 inajengwa halafu unajidai eti mradi wa kwanza wa Hangaya kuuzindua mnampoteza sana mama yenu huyo
 
😍
 
Safi sana Rais Samia
 
Hivyo vibanda havifiki hata robo ya hospital zilizo jengwa Chato,Geita,Musoma,na hata Mtwara acheni kumpa sifa za uongo hiyo 2.5 billion imepewa kwa kila wiilaya nchini na wala sio fedha za kujenga hospital ya kimataifa
Upo kama yule kipofu maarufu aliyeona mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…