February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbuga zilizopo nchini Tanzania
Kamanda huyo wa Polisi wa Mkoa alisisitiza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha yatatekelezwa na kuwataka waTanzania kukubali katazo hilo bila shuruti. ACP Shana alilisisitiza uzalendo kwanza katika awamu hii ya tano ya uongozi.
Source: Azam TV
Zaidi, soma: Uhujumu Uchumi: RC Arusha ataka waliosambaza video ikionyesha barabara mbovu mbugani kukamatwa mara moja