pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
HahahahaSio lazima kesi iwe ya uhujumu uchumi kwani wakipemda wanaeeza hata kuwapa kesi ya kuua bila kukusudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaSio lazima kesi iwe ya uhujumu uchumi kwani wakipemda wanaeeza hata kuwapa kesi ya kuua bila kukusudia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata kusema barabara ni mbaya ni issue ya opposition? Hivi Watanzania mmekuwa wajinga kiasi hicho?
Huamini kuwa mtu yoyote timamu akiona barabara mbaya atasema kuwa "barabra fulani ni mbaya" bila kujali yeye ni ccm au opp?
Kuanzia sasa kutokana na hili lililotokea nadhani ni vizuri tu Mkuu wa Mkoa akatoa katazo kwa watalii kutokupiga picha yoyote mbugani na ili kutekeleza hilo camera zao zote zikaguliwe.Kama hilo halitoshi basi wasiruhusiwe kuingia na camera mbugani na waingie na simu za kitochi peke yake kwa kuwa smartfone zina camera.Nakuja....Hao watalii waliokuwa kwenye hayo magari nao walipiga picha. Atawadhibiti vipi wasizisambaze?
Hivi hawa jamaa wanamaanisha awamu zote zilizopita walikuwa hawafanyi kazi kwa Uzalendo....!!?Kamanda huyo wa Polisi wa Mkoa alisisitiza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha yatatekelezwa na kuwataka waTanzania kukubali katazo hilo bila shuruti. ACP Shana alilisisitiza uzalendo kwanza katika awamu hii ya tano ya uongozi.
Anakinyemelea Cheo cha Sirro..............!!
Opposition ya ajabu kuwahi tokea
mnachokifanya ni economic sabotage.
mnatafuta sifa za mitandaoni
Unataka tufiche hili ila tushangilie mashinji kuhamia ccm kwa kulipwa 1 bil ?mnatafuta sifa za mitandaoni
Kamanda bado wewe tu sijui uafanya nini huko??Unataka tufiche hili ila tushangilie mashinji kuhamia ccm kwa kulipwa 1 bil ?
February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbunga zilizopo nchini Tanzania
Kamanda huyo wa Polisi wa Mkoa alisisitiza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha yatatekelezwa na kuwataka waTanzania kukubali katazo hilo bila shuruti. ACP Shana alilisisitiza uzalendo kwanza katika awamu hii ya tano ya uongozi.
Source: Azam TV
Zaidi, soma: Uhujumu Uchumi: RC Arusha ataka waliosambaza video ikionyesha barabara mbovu mbugani kukamatwa mara moja
Askari,mkuu wa mkoa,wewe,yule,etc wote mmegeuka PR Managers wa serikali?
Hii ni fani mahususi,wanatakiwa wajibu PR Managers na sio nyie mamaeeeee
Yaani hii serikali bwana,kila kitu jeshi,mnafeli vibaya!
Na sanduku litawaumbua sana!
Huku kwenye jukwaa hawapo hao PR managers, mkifungua nyuzi za kulaumu mkubali wachangiaji watakuwepo wa kuwatia kasoro.
Tumia busara unaposambaza mapicha, kama nilivyosema hapo, sambaza za barabara mbovu Dar na maeneo mengine, lakini sio kwenye eneo nyeti la kitalii, ipeleke kwa mamlaka husika na bila shaka wataifanyia kazi. Sio kila picha ya kwenu nyumbani inapaswa kuonwa na dunia yote, mjifunze kusitiri mengine na kupokeza taarifa ndani kwa ndani.
Noma sana!Waache ujanjaujanja sisi tunataka hizi road za ngorongoro ziwe laminated bhani