Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbunga zilizopo nchini Tanzania
Kamanda huyo wa Polisi wa Mkoa alisisitiza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha yatatekelezwa na kuwataka waTanzania kukubali katazo hilo bila shuruti. ACP Shana alilisisitiza uzalendo kwanza katika awamu hii ya tano ya uongozi.
Source: Azam TV
Huyu alipataje kuwa RPC ?
Huyu mzee amalize muda wake astaafu. Akagombanie nafasi Ccm. Naona hii kazi ina muwia ngumu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mara nyingi sana anahudhuria mikutano ya ccm na kuhutubiaSijaona polisi anaongea namna hii kama kada wa Lumumba. Hapa kuelekea 2020 tutaona makada wengi wa wakijitokeza .
Hahah ! wonder shall never last.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbunga zilizopo nchini Tanzania
Kamanda huyo wa Polisi wa Mkoa alisisitiza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha yatatekelezwa na kuwataka waTanzania kukubali katazo hilo bila shuruti. ACP Shana alilisisitiza uzalendo kwanza katika awamu hii ya tano ya uongozi.
Source: Azam TV
Zaidi, soma: Uhujumu Uchumi: RC Arusha ataka waliosambaza video ikionyesha barabara mbovu mbugani kukamatwa mara moja
UCJAFU WA MA CCM HAUTA FICHWA KAMWE. HATA MKIWAZIBA MIDOMO AKINA LEMA BADO MAWE YATAONGEA. HII NCHI SIO MALI YA MAGUFURI AMA MA CCM HII MCHI NI YETU WOTE.ACHENI UHUNI WA KISHAMBA!Opposition ya ajabu kuwahi tokea
Tatizo linaanzia kule juu kabisa.......uhuni kila kona ya nchi
Sio lazima kesi iwe ya uhujumu uchumi kwani wakipemda wanaeeza hata kuwapa kesi ya kuua bila kukusudiaNaangalia TBC hapa
Wameonesha kwa kirefu zaidi, nadhani watakamatwa kwa uhujumu uchumi
February 17, 2020
Katazo la kupiga picha mbugani
Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, ACP Jonathan Shana atoa tamko kali la onyo huku akigonga mimbari ya press conference wakati akijibu maoni ya Mh. Godbless Lema mbunge wa Arusha mjini kuhusu picha za barabara mbovu za mbunga zilizopo nchini Tanzania
Kamanda huyo wa Polisi wa Mkoa alisisitiza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha yatatekelezwa na kuwataka waTanzania kukubali katazo hilo bila shuruti. ACP Shana alilisisitiza uzalendo kwanza katika awamu hii ya tano ya uongozi.
Source: Azam TV
Zaidi, soma: Uhujumu Uchumi: RC Arusha ataka waliosambaza video ikionyesha barabara mbovu mbugani kukamatwa mara moja
Ni kosa sana kupiga picha ukiwa na nia ya kuhujumu utalii, siasa fanyeni huko Dar, lakini mkianza kungilia mpaka maeneo ya watalii, mnakosea kwa kweli. Kama vipi piga picha kisha kamuonyeshe mkuu yeyote ili ifanyiwe kazi.
Picha za barabara mbovu Dar huko ni sawa hata ukianika kwenye mitandao, lakini jaribu kutumia busara sio kila kitu siasa.