Arusha: Kamanda wa Polisi ACP Shana ampa onyo Godbless Lema kuhusu picha za barabara mbovu

Tena yule mzalendo aliepiga picha za yale makorongo barabarani alikuwa anawajulisha wahusika ili wachukue hatua

Sasa kama ndio wanamkomalia hivi dawa ni kuzisambaza ulaya na Marekani na Mataifa ya Asia ili watalii wa ahirishe kuja kwa sababu wao (CCM) ndio wanamwaga mboga.
 
Huyu alipataje kuwa RPC ?
 
Hivi uzalendo maana yake nini?

Kwani ni kukaa kimya tu hata ukiona jambo fulani haliendi sawa? huo sio uzalendo, ni uzuzu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Khaaa! Huyu Kamanda vipi tena mbona ana mizuka ya kiccm?

He is there to enforce the laws sio kutuhubiria uzalendo feki!

Uzalendo ni kujenga barabara nzuri ili watalii waongezeke tupate mapato sio kugonga gonga meza kwa mizuka!

Ati "jeshi kabambe"......Damn, these people are so ignorant!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ! wonder shall never last.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Poor Shana, what a fucking statement is this..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kosa sana kupiga picha ukiwa na nia ya kuhujumu utalii, siasa fanyeni huko Dar, lakini mkianza kungilia mpaka maeneo ya watalii, mnakosea kwa kweli. Kama vipi piga picha kisha kamuonyeshe mkuu yeyote ili ifanyiwe kazi.
Picha za barabara mbovu Dar huko ni sawa hata ukianika kwenye mitandao, lakini jaribu kutumia busara sio kila kitu siasa.
 

Lipolisi mavi linapojifanya limwanasiasa yaani kidogo nitapike!

Zee mavi kweli lile!

Utadhani katibu la ccm la something huko!

Hovyo sana lile baba-mama!

Na lugha hovyo kabisa la ‘jeshi kabambe”...

Motherfvcker shut up!
 

Askari,mkuu wa mkoa,wewe,yule,etc wote mmegeuka PR Managers wa serikali?

Hii ni fani mahususi,wanatakiwa wajibu PR Managers na sio nyie mamaeeeee

Yaani hii serikali bwana,kila kitu jeshi,mnafeli vibaya!

Na sanduku litawaumbua sana!
 
Kwa tafsiri hii ya uzalendo, mimi sifai wala sitamani kuitwa mzalendo.

Sio busara kuchanganya umasikini wa fikra na uzalendo, sio sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…