Arusha: Kamanda wa Polisi ACP Shana ampa onyo Godbless Lema kuhusu picha za barabara mbovu

Uzalendo wa tz ni kutetea serikali yako hata kama inakuminyaje wewe unachotakiwa ni kuisifia ,kuitukuza na kuwasema vibaya ambao wanatoa mchango kwa maslahi ya taifa ..

Hii nchi ujinga bado ndo tatizo kuu kuliko umaskini..ACP anaongea mashusha bila soni kwa ajili ya kutetea tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watalii waliokuwa kwenye hayo magari nao walipiga picha. Atawadhibiti vipi wasizisambaze?
 
Yaani hata kusema barabara ni mbaya ni issue ya opposition? Hivi Watanzania mmekuwa wajinga kiasi hicho?

Huamini kuwa mtu yoyote timamu akiona barabara mbaya atasema kuwa "barabra fulani ni mbaya" bila kujali yeye ni ccm au opp?

Sasa hivi hayo mapungufu hayatakiwi kusemwa maana wananchi wameanishwa kuwa Magufuli ameleta maendeleo makubwa hivyo hamna matatizo tena. Sasa inapotokea hali hiyo ikawekwa hadharani, wananchi waliokwisha mezeshwa Hadaa wanashangaa na kujua wanayoambiwa yanatiwa chumvi sana.
 
Hao watalii waliokuwa kwenye hayo magari nao walipiga picha. Atawadhibiti vipi wasizisambaze?
Kuanzia sasa kutokana na hili lililotokea nadhani ni vizuri tu Mkuu wa Mkoa akatoa katazo kwa watalii kutokupiga picha yoyote mbugani na ili kutekeleza hilo camera zao zote zikaguliwe.Kama hilo halitoshi basi wasiruhusiwe kuingia na camera mbugani na waingie na simu za kitochi peke yake kwa kuwa smartfone zina camera.Nakuja....
 
Kamanda huyo wa Polisi wa Mkoa alisisitiza maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha yatatekelezwa na kuwataka waTanzania kukubali katazo hilo bila shuruti. ACP Shana alilisisitiza uzalendo kwanza katika awamu hii ya tano ya uongozi.
Hivi hawa jamaa wanamaanisha awamu zote zilizopita walikuwa hawafanyi kazi kwa Uzalendo....!!?
 
Inasemekana barabara imeanza kutengenezwa baada ya ile picha kuleta mtafaruku
 
nadhani uteteszi ungekua kuwa wanaacha mazingara ya mbugani ya bakie na uhalisia wake sio kuwatisha watu
 

Vipi katazo hilo kwa upande wa watalii wa nje?
 
Askari,mkuu wa mkoa,wewe,yule,etc wote mmegeuka PR Managers wa serikali?

Hii ni fani mahususi,wanatakiwa wajibu PR Managers na sio nyie mamaeeeee

Yaani hii serikali bwana,kila kitu jeshi,mnafeli vibaya!

Na sanduku litawaumbua sana!

Huku kwenye jukwaa hawapo hao PR managers, mkifungua nyuzi za kulaumu mkubali wachangiaji watakuwepo wa kuwatia kasoro.
Tumia busara unaposambaza mapicha, kama nilivyosema hapo, sambaza za barabara mbovu Dar na maeneo mengine, lakini sio kwenye eneo nyeti la kitalii, ipeleke kwa mamlaka husika na bila shaka wataifanyia kazi. Sio kila picha ya kwenu nyumbani inapaswa kuonwa na dunia yote, mjifunze kusitiri mengine na kupokeza taarifa ndani kwa ndani.
 
Hii aibu inatrend haswa huko Kenya wanacheka hawana mbavu mbaya zaidi ni kwamba imerushwa kwenye Television yao hii ni aibu ya mwaka. Na kuonyesha kwamba sisi ni vilaza wamesema kabisa kule kwao hawana shughuli na jambo jemba wanashughuli na kilichoharibika ili kipate matengenezo
 

Busara ya nini mzee?

Nimepata picha inaonesha barabara mbvu,sio uongo ni kweli!

Sasa unataka nifiche so kwamba ni serikali?

Mavi yenu kunuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…