Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania

we labda ulienda kaskazini ya machame,hPa naongelea Arusha ukifikia
Chuga usiwe unajifungia ndani tembea viwanja ujionee sio kulala tu kwa shemeji yako.
Naona ni mwendo wa kutoa povu tu,wapo ndio ila wakutafuta 95% hovyo, tano ndio kidogo wanaeleweka
 
wengi ni chapakazi, sio wa dar wamekalia kusutana na kuvaa madera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…