Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania

hahaahha... naona kuna chalii hapo amejaribu ku figure out akashindwa akaishia kuuliza tu what do you mean... hahaha, nadhani angeshusha ndoo ya omo kama angeilewa hiyo comment. jamaa katoa dongo zito sana.
Hahahaha, yani kuna moja nilikutana naye bwana, ni hatari sana sana.
Lakini alivyofanya lile jambo ambalo mdau kalisema, hahahahaha nilichoka kabisaaa!
Hadi dada wa watu akajistukia kwamba nimeboreka labda....
 
Hahahahahaha... acha kunichekesha mzee unanikumbuisha rafiki yangu Anna mtoto wa Mushi, mtoto ana sura tamu usipime, kwenye group discussion mkianza tu vituko vituko unamuona mtoto wa watu anainama chini kama sio kuinama basi ataweka kiganja mdomoni hapo sasa ndio mnaenda sambamba kwenye kucheka.
 
Mzee kule hands down,..Hands down!
Unakuta anachunga ng'ombe lakini shughuli yake siyo ya dunia hii.
Mzee Singida ni shidaa kumbe na wewe unapajua.. Kipindi naishi Dom nilimuuliza mwenyeji wangu wa pale hawa watoto vipi wanamwagwa kutoka wapi? mbona sijawahi kuskia Wagogo kuwa ni warembo kiasi hiki!!? akaniambia baba hizi ni products za kinyaturu kutoka Singidani dodoma hizi samples ukitaka kujionea nenda manyoni hapo.
 
Singidani ni shida yani shida jamani!...
 
Hahahahahaha... acha kunichekesha mzee unanikumbuisha rafiki yangu Anna mtoto wa Mushi, mtoto ana sura tamu usipime, kwenye group discussion mkianza tu vituko vituko unamuona mtoto wa watu anainama chini kama sio kuinama basi ataweka kiganja mdomoni hapo sasa ndio mnaenda sambamba kwenye kucheka.
Hahahahahaha, hili huwa linawamalizia ujasiri wao wote. Halafu walikuwa wanashobokea sana mabrazameni kutoka Dar, sijui kwanini....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu,wanawake wa mkoa gani we unaona ni waZuri zaidi ya Chuga?
Na papuc***** zao zina rangi fulani 'asilia"au?????
 
Hahahahahaha, hili huwa linawamalizia ujasiri wao wote. Halafu walikuwa wanashobokea sana mabrazameni kutoka Dar, sijui kwanini....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa hapo tu kwenye dental appearance ndio huwa confidence yao yote inaisha ila ukimzoea sana anajiachia tu..... Mabrazamen wa dar wanapenda sana show offs, ujuaji mwingi na kuspend sana kwenye ma clubs hicho ndio kilikuwa kinawateka sana. Nakumbuka mwanangu Hamy B mtoto wa Tabata alijipigia sana hizo toto akitumia rav 4 yake na vichenji kidogo.
 
Back
Top Bottom