MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Mzee kule hands down,..Hands down!Mmefika SINGIDA lakini!?..
That was savage, brutally savage!damn!! you savage
hahaahha... naona kuna chalii hapo amejaribu ku figure out akashindwa akaishia kuuliza tu what do you mean... hahaha, nadhani angeshusha ndoo ya omo kama angeilewa hiyo comment. jamaa katoa dongo zito sana.That was savage, brutally savage!
Wakimwelewa watamtolea bonge la povu.....teh teh teh!
Hahahaha, yani kuna moja nilikutana naye bwana, ni hatari sana sana.hahaahha... naona kuna chalii hapo amejaribu ku figure out akashindwa akaishia kuuliza tu what do you mean... hahaha, nadhani angeshusha ndoo ya omo kama angeilewa hiyo comment. jamaa katoa dongo zito sana.
Hahahahahaha... acha kunichekesha mzee unanikumbuisha rafiki yangu Anna mtoto wa Mushi, mtoto ana sura tamu usipime, kwenye group discussion mkianza tu vituko vituko unamuona mtoto wa watu anainama chini kama sio kuinama basi ataweka kiganja mdomoni hapo sasa ndio mnaenda sambamba kwenye kucheka.Hahahaha, yani kuna moja nilikutana naye bwana, ni hatari sana sana.
Lakini alivyofanya lile jambo ambalo mdau kalisema, hahahahaha nilichoka kabisaaa!
Hadi dada wa watu akajistukia kwamba nimeboreka labda....
Mzee Singida ni shidaa kumbe na wewe unapajua.. Kipindi naishi Dom nilimuuliza mwenyeji wangu wa pale hawa watoto vipi wanamwagwa kutoka wapi? mbona sijawahi kuskia Wagogo kuwa ni warembo kiasi hiki!!? akaniambia baba hizi ni products za kinyaturu kutoka Singidani dodoma hizi samples ukitaka kujionea nenda manyoni hapo.Mzee kule hands down,..Hands down!
Unakuta anachunga ng'ombe lakini shughuli yake siyo ya dunia hii.
Nimewafatilia hawa nikasema hiii!.. wangefika Singidani hawaa!.. Tena na meno meupee sio kure meno ya njano!.😀[emoji23]Mzee kule hands down,..Hands down!
Unakuta anachunga ng'ombe lakini shughuli yake siyo ya dunia hii.
Singidani ni shida yani shida jamani!...Mzee Singida ni shidaa kumbe na wewe unapajua.. Kipindi naishi Dom nilimuuliza mwenyeji wangu wa pale hawa watoto vipi wanamwagwa kutoka wapi? mbona sijawahi kuskia Wagogo kuwa ni warembo kiasi hiki!!? akaniambia baba hizi ni products za kinyaturu kutoka Singidani dodoma hizi samples ukitaka kujionea nenda manyoni hapo.
Hahaha, halafu warefuu..Nimewafatilia hawa nikasema hiii!.. wangefika Singidani hawaa!.. Tena na meno meupee sio kure meno ya njano!.😀[emoji23]
Hahahahahaha, hili huwa linawamalizia ujasiri wao wote. Halafu walikuwa wanashobokea sana mabrazameni kutoka Dar, sijui kwanini....Hahahahahaha... acha kunichekesha mzee unanikumbuisha rafiki yangu Anna mtoto wa Mushi, mtoto ana sura tamu usipime, kwenye group discussion mkianza tu vituko vituko unamuona mtoto wa watu anainama chini kama sio kuinama basi ataweka kiganja mdomoni hapo sasa ndio mnaenda sambamba kwenye kucheka.
Na papuc***** zao zina rangi fulani 'asilia"au?????Wadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu,wanawake wa mkoa gani we unaona ni waZuri zaidi ya Chuga?
Naibu sipika akiwakilisha! Au siyo?! Hahahahahaha
Katuwakilishe vyema wanaume wa dar 😀Hahaha, halafu warefuu..
Daaah acha tu, nadhani mwezi ujao ntakuwepo Arusha halafu ntapita huko navyoenda Dodoma. Lazima nikae hata siku mbili hivi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni barbaigs! A.k.a wamang'ati. Hao watu ni moto wa kuotea mbali.Mzee kule hands down,..Hands down!
Unakuta anachunga ng'ombe lakini shughuli yake siyo ya dunia hii.
Kweli kabisa hapo tu kwenye dental appearance ndio huwa confidence yao yote inaisha ila ukimzoea sana anajiachia tu..... Mabrazamen wa dar wanapenda sana show offs, ujuaji mwingi na kuspend sana kwenye ma clubs hicho ndio kilikuwa kinawateka sana. Nakumbuka mwanangu Hamy B mtoto wa Tabata alijipigia sana hizo toto akitumia rav 4 yake na vichenji kidogo.Hahahahahaha, hili huwa linawamalizia ujasiri wao wote. Halafu walikuwa wanashobokea sana mabrazameni kutoka Dar, sijui kwanini....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule Singidani mzee baba kama tayari ni mme wa mtu halafu ndio first time unakanyaga unaweza ukajuta kwanini ulioa mapema... wale watoto zile figures unaweza ukasema wamezichonga kama kadarshian sisters lakini kumbe walaa vitu naturaaaaaal.Singidani ni shida yani shida jamani!...