Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania

Kule Singidani mzee baba kama tayari ni mme wa mtu halafu ndio first time unakanyaga unaweza ukajuta kwanini ulioa mapema... wale watoto zile figures unaweza ukasema wamezichonga kama kadarshian sisters lakini kumbe walaa vitu naturaaaaaal.
Sio wachoyo lakini bado wanalipa hata kule kwa mwajuma hapajachakaa🙂..
 
Hilo ni kweli mkuu halafu wote wasafi wakivaa na yale masweta ya baridi unatamani dar usirudi tena
 
Hapa jirani na ninapoishi kuna mabinti wawili wa kinyiramba, sasa kwakuwa umesema sio wachoyo basi ngoja kesho ni test zari..
Kuna jamaa anasemaga hizi ni kauli za kishujaa!.. Kusema fulani sio mchoyo unajiamini anaenda kukubania [emoji23]. Usije kuwa jamaa flani JF aliambiwa akaenda na buku 10 lake amkule ndugu yake ohoo!..
 
Haaahah... basi ngoja niende huku nimejiandaa kisaikolojia kabisa na majibu yoyote yale. Na akinibania kesho nampunzisha tu baada ya siku mbili naamsha tena majeshi
 
Nimezunguka sehemu kubwa ya Tanzania lkn nasema hili kutoka Moyoni: Singida Singida Singida ilitaka kunivunjia ndoa yangu. Singida kuna watoto wakali kiasi kwamba safari zangu zote huwa najitahidi kubalance muda nikalale Singida walau nisafishe macho (ikiwezekana nisafoshe mguu pia) then siku ifuatayo niendelee na safari. Achaneni na hao wenye meno machafu, nendeni Singida mkastaajabu uumbaji wa Mungu. Singida nitaendelea kuja naombeni wenyeji msinichoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ahahaha another confession... natumaini wife hawezi kuona hii comment asije akakupiga marufuku kukanyaga singida.
 
Wewe utakuwa wa mtu wa kusini aisei..! Wanwake wa Arusha ni mababy face hawa chura aisei kama wahindi wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha,
Umesoma na Hamy B mzee ???
Nakumbuka Joh Makini kipindi hicho anavaa misuluali mipanaa na walkman ya CD mkononi.
 
Hahahahaha,
Umesoma na Hamy B mzee ???
Nakumbuka Joh Makini kipindi hicho anavaa misuluali mipanaa na walkman ya CD mkononi.
Sio hamy b huyu ambaye wengi tunamjua..
Ni jamaa mmoja jina lake halisi ni hamis bakari, mara nyingi yeye mwenyewe alipenda kujiita hamy b pale chuo, mzee wa totozi alijipigia sana toto zinazo shobokea masharobalo, mpaka zingine akawa anani pasia mimi na mimi naunganisha tu.
 
Hahaha, hatari sana. Watoto wa Arusha wanajidai wanaimba HipHop huku watoto wa Dar full kuoga.
Hivi kuna fala moja alikuwa anaitwa Batee unamkumbuka ??? Alikuwa anauza duka la pamba!
 
Hahaha, hatari sana. Watoto wa Arusha wanajidai wanaimba HipHop huku watoto wa Dar full kuoga.
Hivi kuna fala moja alikuwa anaitwa Batei unamkumbuka ??? Alikuwa anauza duka la pamba!
Huyo si mpati mzee.. alikuwa ni mwanafunzi wa chuo gani au anafahamika kwa nini hasa?
 
Huyo si mpati mzee.. alikuwa ni mwanafunzi wa chuo gani au anafahamika kwa nini hasa?
Alikuwa anawapa madogo wa kiume pamba halafu anawafanya kitu nyeusi..
Watoto wanatamani Supra na Clipper za bure wawe kama madogo wa Dar es salaam.
Hahahaha dogo aliniambiaga kuna machalii walifanyiwa hizo mavituz na huyo jamaaa aisee!
 
Daaaah... aisee!! basi kama ni hivyo huyo jamaa alikuwa ni mafia na mshirikina sio buree tu. Lakini hao watoto wa dar naskiaga hiyo michezo kwao ni kawaida tu hasa wale walamba lips na wapenda supra..hahahah
 
Mzee siku hizi siyo Dar tu, sehemu kibao naona hizo mishe zipo siku hizi. Japo Dar ndiyo kumezidi mzee, mimi kupeleka mtoto kwenda kusoma kule ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…