Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania



Lindi, Tanga, Mtwara, Pwani, Singida, Tabora, Shinyanga, Kagera
 
Mzee siku hizi siyo Dar tu, sehemu kibao naona hizo mishe zipo siku hizi. Japo Dar ndiyo kumezidi mzee, mimi kupeleka mtoto kwenda kusoma kule ni hatari sana.
Sasa kama ndio hivyo tena washiriki wa hiyo michezo wanazidi kuwa wengi, basi siku sio nyingi tutawashuudia wakianza kudai kutambulika na serikali na wsibugudhiwe na mtu na hatimae watapata watetezi wao kutoka nje mwisho wa siku tutakuwa na LGBT hapa nchini. Hakika yatupasa tuwe na makini sana na vijana wetu ambao wako kwenye balehe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…