Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu,wanawake wa mkoa gani we unaona ni waZuri zaidi ya Chuga?
Sasa kama ndio hivyo tena washiriki wa hiyo michezo wanazidi kuwa wengi, basi siku sio nyingi tutawashuudia wakianza kudai kutambulika na serikali na wsibugudhiwe na mtu na hatimae watapata watetezi wao kutoka nje mwisho wa siku tutakuwa na LGBT hapa nchini. Hakika yatupasa tuwe na makini sana na vijana wetu ambao wako kwenye balehe.Mzee siku hizi siyo Dar tu, sehemu kibao naona hizo mishe zipo siku hizi. Japo Dar ndiyo kumezidi mzee, mimi kupeleka mtoto kwenda kusoma kule ni hatari sana.