Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini.
Wanywaji wa Pombe hizo wamekuwa wakisema zinawapotezea kumbukumbu pindi wanywapo. Na wengine hupoteza fahamu hadi siku mbili .
Sababu za kunywa wanadai bei ni rafiki na kipato chao kwani pombe zenye viwango hawazimudu.