Na uyo alieandika lazma ni wa kanda ya ziwa ile alinganishe 😄Shida kubwa au kesi nyingi ni Mahusiano lakini bado hatujafikia Wilaya moja ya Kanda ya Ziwa
Ili lawama zije pande zoteNa uyo alieandika lazma ni wa kanda ya ziwa ile alinganishe 😄
Wanasahau wao kanda ya ziwa ndo wanaongoza kwa mauaji ya albino na vikongweIli lawama zije pande zote
Kesi nazioona nyingi Arusha ni miaka chini ya 30 ila huku ni Over 30Wanasahau wao kanda ya ziwa ndo wanaongoza kwa mauaji ya albino na vikongwe
Acha kuwadharau viongozi wako ww wapi kulipokua Salama Dunia hii? Au mifano yenu ndo America? Unajua visa vingpi vya ukatili vinatokea huko na ni taifa kubwa lileTatizo ni uongozi mbovu na wa hovyo unaotawala hili taifa,, haya matukio kuna kipindi fulani yalipungua sana lakini sasa ni kama yanafufuka upya.
Umeshindwa hata kuweka data hapa kusindikiza hoja yako. Kuna watu wapo Arusha na hawaoni hayo.Kila siku Arusha watu wanauana.
Shida wadudu au mlivyo tabia zenu.?
Ili?Wanatakiwa wachomwe sindano ya mania
Hawa Vijana wa kuitwa wadudu si ndiyo vijana watiifu kwa Mh Bashite?..Kila siku Arusha watu wanauana.
Shida wadudu au mlivyo tabia zenu.?
Ili wapone mania maana wanaugonjwa waakiliIli?
Big up brooo na mara hawa watu wanaugonjwa wa maniaKatika mikoa yenye watu wana roho mbaya wa kwanza Arusha then Kilimanjaro. Huko kuchinjana ni kitu cha kawaida sana.
Kilimanjaro wamechinjana lini bwasheeKatika mikoa yenye watu wana roho mbaya wa kwanza Arusha then Kilimanjaro. Huko kuchinjana ni kitu cha kawaida sana.
Aisee basi huna smart phone unakiswaswaduKilimanjaro wamechinjana lini bwashee
Yani nilizaliwe huko na kukulia halafu nihitaji smart phone kujua kwetu??Aisee basi huna smart phone unakiswaswadu