Hahaha...Banana huwa ananikosha pale BM[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usinikumbushe
Kuna huyo Gentleman pembeni yake...Ni hatari...Uje tu..
Niko mwenyewe.Utakaa Kwa muda gani. Uko mwenyewe.? Andaa laki Tano tu ili uepuke kuunga unga mjini š
PoleHayo ni mambo binafsi, hayatuhusu
PoleHayatuhusu kama rah P
PoleniNakazia
Siku nne maxmum,nqtaka lpdge na sehem za ku enjoykwa muda gani?
una mwenyeji au unafikia hotel/logde
Umeandaa bajeti ya shilingi ngapi tukuelekeze machimbo kulingana na bajeti yako
NB: Nmeishi Ar ila kwa sasa siishi huko japo naendaga maraa kwa mara kutembelea makoloni yangu
SureHaya ni makadirio ya kawaida sana, kama ni mnywaji na mpenda starehe akiingia the Hub atatumia pesa ndefu mkuu.
Kama unapanga kwenda mapumziko huwezi kwenda kizembe bablai...starehe gharama..120k ni pesa ndogo sana ugenini
YesKwani ni mrembo mkuu?
Nina pesa yanguKama atafanana kama wale wa kwenye uzi wa 'pisi kali'; aonyeshe tu nia, kuhusu nauli na mengineyo atatumiwa; muhimu ni kuruhusu mwili tu uje a town š š
Ilete tuitumie tukiwa hapa mjiniNina pesa yangu
Ulishakutana na kitu cha namna hii tangu uzaliwe?Utaniambia nini kwa umri huu kijana.
Hakuna jpya acha papara kijana
Ona huo mguu, hiki ni kitu fake weweUlishakutana na kitu cha namna hii tangu uzaliwe?
View attachment 2635330
Tuma maombi mkuu na ratiba ijulikanešKama mgeni
Wow
Nikutajie lodge Kali za kufika hapa hapa? Au pmKama mgeni
Hata hapa sio mbayaNikutajie lodge Kali za kufika hapa hapa? Au pm
Hakuna kitu fake hapo, honga mshahara wote ule mema ya duniaOna huo mguu, hiki ni kitu fake wewe