Arusha kupumzika/kuenjoy

Arusha kupumzika/kuenjoy

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usinikumbushe

Kuna huyo Gentleman pembeni yake...Ni hatari...Uje tu..
Hahaha...Banana huwa ananikosha pale BM
Ninamkubali mnoo..
hasa akiwa na mchizi wake yule Q Chillar
 
kwa muda gani?
una mwenyeji au unafikia hotel/logde
Umeandaa bajeti ya shilingi ngapi tukuelekeze machimbo kulingana na bajeti yako
NB: Nmeishi Ar ila kwa sasa siishi huko japo naendaga maraa kwa mara kutembelea makoloni yangu
Siku nne maxmum,nqtaka lpdge na sehem za ku enjoy
 
Haya ni makadirio ya kawaida sana, kama ni mnywaji na mpenda starehe akiingia the Hub atatumia pesa ndefu mkuu.
Kama unapanga kwenda mapumziko huwezi kwenda kizembe bablai...starehe gharama..120k ni pesa ndogo sana ugenini
Sure
 
Utaniambia nini kwa umri huu kijana.

Hakuna jpya acha papara kijana
Ulishakutana na kitu cha namna hii tangu uzaliwe?
dss.jpg
 
Njoo nikutembeze mjini; mimi ni kijana mwema sina madhara kabisa
 
Back
Top Bottom