Arusha kupumzika/kuenjoy

Arusha kupumzika/kuenjoy

Unapenda CHUDUZ sana mkuu😂😂😂
Kila binadamu anapenda vitu vizuri, tatizo ni mawe tu; ningekuwa powa, sasa hivi ningekuwa Colombia, kesho Cuba, kesho kutwa Philipine; yote ni kutafuta pisi kali
 
Inategemea na mahitaji yako mkuu.
Lodge/hotel kwa 60k ni sehemu sio mbaya.
Matumizi au matanuzi kwa siku ukijiwekea 60k yaani transport na chakula pia sio mbaya.
120k/day nafikiri utafurahia
Mpeleke pale mahala[emoji2]
 
Back
Top Bottom