Uchaguzi 2020 Arusha kuwa kama Calfornia ni kichekesho na mzaha mkuu

Watu wa ccm ni aibu kubwa kwa taifa hili
Thanks kwa jf at least tunaona uelewa wa watu

So na ww usikute una watoto au mtoto na unamsaidia kufanya home work ya shule kabisa Yan
Hahaha dah
Ukiwa na akili timamu mkuu huwezi kuwa Kijani hata kwa sekunde
 
Watu wa ccm ni aibu kubwa kwa taifa hili
Thanks kwa jf at least tunaona uelewa wa watu

So na ww usikute una watoto au mtoto na unamsaidia kufanya home work ya shule kabisa Yan
Hahaha dah
Yaani anamsaidia home work kabisa!?
Sasa atakuwa anamfanya mwanae kilaza kama yeye.
Hiki chama kikitoka madarakani inabidi kifutwe kabisa na wafuasi wake wafanyiwe rehabilitation.
 
Hama nchi kwani umelazimishwa kuishi bongo?
Wewe msukule hii nchi si ya babako au mamako.
Hii nchi ni ya Watanzania wote,ikiwemo mataahira kama wewe na timamu kama mimi.
Mnajifanya nyie ndio wenye nchi kisa tu upo upande wa walioshika mpini!.
 
Kataja Calfonia kusalute hiphop A town anajifanya nae yumo, Hahahahahaa
 
Wewe msukule hii nchi si ya babako au mamako.
Hii nchi ni ya Watanzania wote,ikiwemo mataahira kama wewe na timamu kama mimi.
Mnajifanya nyie ndio wenye nchi kisa tu upo upande wa walioshika mpini!.
Kila unayemuona na mawazo tofauti unafikiri yupo Serikalini au ameshika nchi. Njoo nikuajiri kama huna kazi kimburu we!
 
Mika 1000 iliyopita California ilikuwepo? Tunaambiwa binadamu wa kwanza alitokea Olduvai Gorge au sio? sasa kuna tatizo gani kwa Arusha kuwa kama California? Mnakwama wapi nyie kizazi cha watumwa?
Mkuu kwa hiyo unasubiri miaka mitano ijayo Arusha kuwa Kama California?! ,[emoji2][emoji2]
 
Mheshimiwa Jimbo la California sio saizi yetu kabisa, huko ni maji marefu sana.

Mheshimiwa Magufuri anataka kuifanya Arusha kuwa kama Calfornia, Marekani.

Kwa ambao hatujui ni kwamba ukitaja Calfornia basi unaitaja Marekani moja kwa moja, hili ndo Jimbo tajiri Marekani nzima labda likifuatiwa na Texas.

Calfornia ina Uchumi mkubwa kuliko nchi ya Uingereza, mwaka jana California GDP yake ilikuwa Dola 3.2 Trillion.

California umeme wanaotumia kwa siku, yaani mahitaji ni zaidi ya megawatt 50,000.

Kwa Ulaya nchi Pekee ambayo inaizidi Calfornia ni Ujerumani, ila wote wakina France, Uingereza wote wanapitwa mbali na Calfornia.

California ingekuwa ni nchi ingekuwa ni nchi ya TANO kwa Uchumi mkubwa Duniani kwa takwimu za sasa.

Calfornia inapitwa na nchi kama China, Japan, Ujerumani, India ilikuwa na GDP sawa na Calfornia mwaka jana,

Kwa Africa Ukichukua nchi zote sijui 52 GDP yao bado inapitwa na California, yaani chukua GDP ya Africa Kusini jumlisha na nchi zote na Tanzania ikiwemo bado hatuifikii Clafornia Jimbo.

Calfornia ndo kuna silcon valley huko San Francisco, huko ndo nyumbani kwa Wababe wa Dunia kwenye Techinolojia, ni kwamba Dunia inatawaliwa kutokea California Sun Francisco.

Kule ni nyumbani kwa:
Google, Facebook, Twitter, Adobe Inc., Apple, The Walt Disney Company, Ebay, HP Computer, Intel, McAfee, Mozilla Corporation, Netflix, Oracle Corporation, PayPal, Qualcomm, Samsung Group America, SanDisk, SpaceX,Tesla, Inc, Youtube, Yahoo, Visa Inc, Toshiba na kadhalika.

Hayo makampuni ni ya Techilinoia pekee,

Pia ndo nyumbani kwa Hollywood, na usisahau na kilimo ndo jimbo linalo ongoza kwa kilimo Marekani nzima.

Wanalima jumla ya hekari 24.5 Million.
Hata tulivyoingia uchumi wa kati yalijadiliwa hayo ya kubeza. Tanzania Hakuna upinzani kuna upingaji
 
Unaijua California au unaisikia? California ni nchi ile shida nyie sijui mnashikiwa akili? Yaani jimbo lina GDP kubwa kuliko Africa yote combined halafu tuwafikie? Mnachekesha sana.

Kwani Hiyo Arusha ilisha ifikia Dar? Isha ifikia Nairobi? Vipi majiji mengine ya huko South au hata Nigeria?
Hata tulivyoingia uchumi wa kati yalijadiliwa hayo ya kubeza. Tanzania Hakuna upinzani kuna upingaji
 
Mheshimiwa Jimbo la California sio saizi yetu kabisa, huko ni maji marefu sana.

Mheshimiwa Magufuri anataka kuifanya Arusha kuwa kama Calfornia, Marekani.

Kwa ambao hatujui ni kwamba ukitaja Calfornia basi unaitaja Marekani moja kwa moja, hili ndo Jimbo tajiri Marekani nzima labda likifuatiwa na Texas.

Calfornia ina Uchumi mkubwa kuliko nchi ya Uingereza, mwaka jana California GDP yake ilikuwa Dola 3.2 Trillion.

California umeme wanaotumia kwa siku, yaani mahitaji ni zaidi ya megawatt 50,000.

Kwa Ulaya nchi Pekee ambayo inaizidi Calfornia ni Ujerumani, ila wote wakina France, Uingereza wote wanapitwa mbali na Calfornia.

California ingekuwa ni nchi ingekuwa ni nchi ya TANO kwa Uchumi mkubwa Duniani kwa takwimu za sasa.

Calfornia inapitwa na nchi kama China, Japan, Ujerumani, India ilikuwa na GDP sawa na Calfornia mwaka jana,

Kwa Africa Ukichukua nchi zote sijui 52 GDP yao bado inapitwa na California, yaani chukua GDP ya Africa Kusini jumlisha na nchi zote na Tanzania ikiwemo bado hatuifikii Clafornia Jimbo.

Calfornia ndo kuna silcon valley huko San Francisco, huko ndo nyumbani kwa Wababe wa Dunia kwenye Techinolojia, ni kwamba Dunia inatawaliwa kutokea California Sun Francisco.

Kule ni nyumbani kwa:
Google, Facebook, Twitter, Adobe Inc., Apple, The Walt Disney Company, Ebay, HP Computer, Intel, McAfee, Mozilla Corporation, Netflix, Oracle Corporation, PayPal, Qualcomm, Samsung Group America, SanDisk, SpaceX,Tesla, Inc, Youtube, Yahoo, Visa Inc, Toshiba na kadhalika.

Hayo makampuni ni ya Techilinoia pekee,

Pia ndo nyumbani kwa Hollywood, na usisahau na kilimo ndo jimbo linalo ongoza kwa kilimo Marekani nzima.

Wanalima jumla ya hekari 24.5 Million.
Mamaaaaeeeeee....
 
Hivi kuna watu wanamchukulia serious huyu jamaa? Ile stigler yake wazungu wakiambiana wasituuzie generator za umeme tu mradi wote unakufa maana ni Francis turbine anayezitengeneza ni mzungu peke yake dunia nzima. Hata mchina hawezi kutusaidia.

Wazungu wana mbinu nyingi sana za kutuhujumu ni vile Magufuli haelewi tu
Wazungu walikataa hilo Bwawa lisijengwe kwa sababu zinazoeleweka na kukubalika na wote wenye akili wa nchini na nje lakini ubabe wa kijinga ukatumika na Wamisri kwa maslahi yao wakapewa kandarasi bila hata kuhoji uzoefu wao. Mtu kukataa kukuuzia mali yake siyo hujuma bali anakuwa na sababu zake kwa hiyo wazungu wakikataa kuwauzia Wamisri Turbines kwa ajili ya Mradi wa Stiegler's Gorge ambao walikataa usijengwe itakuwa ni kupinga ubabe siyo kuihujuma Tanzania. Wasiwasi wa wengi nchini juu ya uwezo na uzoefu wa Wamisri kujenga Mradi wa umeme mkubwa unatokana na ukweli kuwa nchi hiyo ina mto mmoja tu na Bwawa la Umeme pekee la Aswan hawakujenga wenyewe. Serikali ilipoamua kujenga Reli ya TAZARA, Nyerere aliomba msaada toka Uingereza lakini waingereza walikataa kwamba reli hiyo haitakuwa na faida kiuchumi kwa nchi hii hata kwa Zambia. Nyerere hakukata tamaa aliwajaribu Marekani nao walikataa kwa sababu hiyohiyo lakini walikubali kujenga barabara badala ya reli. Wachina walijitolea kujenga Reli na kukamilisha karibu wakati mmoja na TanZam Highway matokeo yake na ukweli wa maono ya wazungu sote tumeuona, TAZARA imekuwa mzigo miaka 50 na bado tutaendelea kubeba. Wachina walimuuliza Nyerere wajenge Reli ya gauge gani yeye akaamua hiyo kubwa licha ya wananchi wengi kushauri tuwe na gauge mojà nchi nzima wakiwa na maana itumike narrow gauge kama East African Railways kama ilivyojulikana wakati huo au TRC ya sasa. Hii ingekuwa na maana kuwa treni ingetoka Tanga au Arusha au Mwanza au Kigoma au Mpanda mpaka Mbeya bila kubadili injini wala mabehewa. Wafanya biashara wa miji hiyo wangeweza kukodi behewa wakapakia bidhaa zao na kulifunga behewa wao wenyewe na kulikabithi na kulifungua na kupakua mali zao wao wenyewe kule Mbeya likifika bila chochote kupotea. Ubabe haujengi unabomoa, Reli ya TAZARA ingetumika sana!
 
Kwanza, tukumbuke kuwa Magufuli alitokea kupinga sera ya majimbo iliyoongelewa na mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu. Sasa kutamani moja ya miji ya Tanzania uwe sawa na jimbo la Marekani inaonyesha 'inconsistencies' katika kauli zake.

Pili, kumbukumbu zangu zikaniambia California na moja ya majimbo yanayofuata sera za kiliberali. Kwa maana hiyo ni moja ya majimbo yaliyo mstari wa mbele katika kutetea haki za binadamu, haki za wanawake, nk.

Takwimu zinaonyesha kuwa mji wa Los Angeles ambao uko ndani ya California una takribani ya wakazi 150,000 wanaojitambulisha kama ni mashoga.

Pia mji mwingine wa San Franscisco ambao nao uko ndani ya California umewahi kutajwa kama ni Makao Makuu ya Ushoga nchini Marekani huku asilimia zaidi ya 6% ya wakazi wakijitambulisha kama ni mashoga.

Hapo sijaongelea Hollywood ambayo nayo iko ndani ya California. Mji huu ndiyo kitivo cha sanaa na burudani hasa filamu duniani na imeonekana kama filamu zao zimekuwa kama moja ya tools za kutetea haki za mashoga.

Kampeni za mgombea wa CCM zimejikita kwa kiasi kikubwa katika kuongelea habari za mabeberu na ushoga kama siasa za majitaka dhidi ya mpinzani wake mkuu. Sasa hizi habari za kutaka kusuguliwa na kuifanya Chugaland iwe kama San Franscisco zinatutia mashaka nani hasa tuwe macho naye. Sisi kama wapiga kura, tunajua mbivu na mbichi ni zipi.
 
IMG_2103.jpg

Uzuri mmoja alikuwa anaambia hizo naniliu[emoji1489][emoji1489]
 
Mheshimiwa Jimbo la California sio saizi yetu kabisa, huko ni maji marefu sana.

Mheshimiwa Magufuri anataka kuifanya Arusha kuwa kama Calfornia, Marekani.

Kwa ambao hatujui ni kwamba ukitaja Calfornia basi unaitaja Marekani moja kwa moja, hili ndo Jimbo tajiri Marekani nzima labda likifuatiwa na Texas.

Calfornia ina Uchumi mkubwa kuliko nchi ya Uingereza, mwaka jana California GDP yake ilikuwa Dola 3.2 Trillion.

California umeme wanaotumia kwa siku, yaani mahitaji ni zaidi ya megawatt 50,000.

Kwa Ulaya nchi Pekee ambayo inaizidi Calfornia ni Ujerumani, ila wote wakina France, Uingereza wote wanapitwa mbali na Calfornia.

California ingekuwa ni nchi ingekuwa ni nchi ya TANO kwa Uchumi mkubwa Duniani kwa takwimu za sasa.

Calfornia inapitwa na nchi kama China, Japan, Ujerumani, India ilikuwa na GDP sawa na Calfornia mwaka jana,

Kwa Africa Ukichukua nchi zote sijui 52 GDP yao bado inapitwa na California, yaani chukua GDP ya Africa Kusini jumlisha na nchi zote na Tanzania ikiwemo bado hatuifikii Clafornia Jimbo.

Calfornia ndo kuna silcon valley huko San Francisco, huko ndo nyumbani kwa Wababe wa Dunia kwenye Techinolojia, ni kwamba Dunia inatawaliwa kutokea California Sun Francisco.

Kule ni nyumbani kwa:
Google, Facebook, Twitter, Adobe Inc., Apple, The Walt Disney Company, Ebay, HP Computer, Intel, McAfee, Mozilla Corporation, Netflix, Oracle Corporation, PayPal, Qualcomm, Samsung Group America, SanDisk, SpaceX,Tesla, Inc, Youtube, Yahoo, Visa Inc, Toshiba na kadhalika.

Hayo makampuni ni ya Techilinoia pekee,

Pia ndo nyumbani kwa Hollywood, na usisahau na kilimo ndo jimbo linalo ongoza kwa kilimo Marekani nzima.

Wanalima jumla ya hekari 24.5 Million.
Theluthi ya utajiri wa dunia uko California, California is the home of Giant tech companies, Arusha iwe California na vumbi lote lile🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom