Uchaguzi 2020 Arusha kuwa kama Calfornia ni kichekesho na mzaha mkuu

Utopolo mtupu, lema amefanya nini hapo zaidi ya kulemaza mafanikio ya jiji la Arusha. Watanzania tumeona kufanya mabadiliko ni sasa, lema akae bench now.

CCM hapo ndio mnafeli,
Hoja ya mtoa hoja ni mzito, usijibu kwa wepesi tu

Yy ametoa shule ya California ambayo Rais wetu anataka arusha iwe hivyo

Sasa acha mahasira yako na ww lete hoja ya kukubaliana na Rais wako kuwa ni possible arusha kuwa kama California
 
Mika 1000 iliyopita California ilikuwepo? Tunaambiwa binadamu wa kwanza alitokea Olduvai Gorge au sio? sasa kuna tatizo gani kwa Arusha kuwa kama California? Mnakwama wapi nyie kizazi cha watumwa?

Watu wa ccm ni aibu kubwa kwa taifa hili
Thanks kwa jf at least tunaona uelewa wa watu

So na ww usikute una watoto au mtoto na unamsaidia kufanya home work ya shule kabisa Yan
Hahaha dah
 
Hahaha
 
Utaendelea kuwa kapuku maisha yako yote. Kwani unakwama wapi kuwahusisha CCM? Au hoja zinakushinda? Yaani wewe una uwezo wa kuelewa mtu yukoje kwa mistari chini ya 10 na sio kitabu? Aibu ni ya kwako. Endeleeni kudanganyana na huyo mlevi wa konyagi.
 
😂 😂 😂 Sawa Arusha itakuwa kama California,
Tumekubali,
 
Mika 1000 iliyopita California ilikuwepo? Tunaambiwa binadamu wa kwanza alitokea Olduvai Gorge au sio? sasa kuna tatizo gani kwa Arusha kuwa kama California? Mnakwama wapi nyie kizazi cha watumwa?
Mkuu umesoma alichoandika mleta mada au umekurupuka tu , soma uelewe kwanza mbona watu wengine mnakua hadi mnatia aibu , ivi kwa hiyo ukishabikia ccm ndio unakua hauna ufaham Wa kitu chochote na hata ukisoma mada za watu unakua huzielewi
 
Kama angekuwa amewapatia maji safi na salama wananchi wa Chato (kijiji ambacho kiko kandokando ya ziwa Victoria) ambako alikuwa mbunge kwa miaka 20 na sasa Rais kwa miaka mitano, ningekubaliana na ndoto yake hiyo ya kuifanya Arusha kuwa California!!!

Tatizo la Magufuli ni kwamba ile tu kuwa rais kumemfanya awaone waTz wote, wote ni wajinga!!! Ushindwe kuwapatia majirani zako maji safi na salama (ila unaweza kuwalingishia wewe kuwa na uwanja wako wa ndege) ndio uje uweze kuiendeleza Arusha kwa namna yoy yote ile?????
 
Utopolo mtupu, lema amefanya nini hapo zaidi ya kulemaza mafanikio ya jiji la Arusha. Watanzania tumeona kufanya mabadiliko ni sasa, lema akae bench now.
Lema ,Mbowe, Mdee ni kati ya wabunge wajinga sana.
Miaka Mitano ni mambo ya hovyohovyo tu ndani na nje ya Bunge.
Watarudi lakini wajirekebishe waache upumbavu wao .
 
Utopolo mtupu, lema amefanya nini hapo zaidi ya kulemaza mafanikio ya jiji la Arusha. Watanzania tumeona kufanya mabadiliko ni sasa, lema akae bench now.
"... usipo chagua CCM sileti maendeleo ..."

Soooo bad kwa Raisi wa nchi kuhubiri ubaguzi hadharani ...
 
Bada ya kumaliza term yake CCM watamuona mtu wa ajabu watampiga mawe
 
Mkuu umesoma alichoandika mleta mada au umekurupuka tu , soma uelewe kwanza mbona watu wengine mnakua hadi mnatia aibu , ivi kwa hiyo ukishabikia ccm ndio unakua hauna ufaham Wa kitu chochote na hata ukisoma mada za watu unakua huzielewi

Ndio maana nimemwambia usikute na yy anamsaidia mtoto wake
homework ya shulen kabisa kwa Aina hiyo ya mawazo
 
Mbona Tunduru kule kwa Mtatiro waliahidiwa kuwa kama majiji ya Ulaya

Subira yavuta kheri
 
Mheshimiwa Jimbo la California sio saizi yetu kabisa, huko ni maji marefu sana.

Mheshimiwa Magufuri anataka kuifanya Arusha kuwa kama Calfornia, Marekani...

Hajawahi kufika Marekani anaona kwenye filamu bila kujua kuwa ni maeneo ya Hollywood yanaigizwa tu. Yule mzee wa Dubai ya Kigoma aliondoka kimyakimya bila hata kufika Kigoma.
 
Back
Top Bottom