Arusha LandRover festival set to break World Record!

Nimemuona Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Manyara queen Sendinga
 
Eagan Salla/BBC

IMAGE SOURCE,EAGAN SALLA/BBC
Eagan Salla/BBC

IMAGE SOURCE,EAGAN SALLA/BBC
Eagan Salla/BBC

Hizo hapo kwa hisani ya BBC
 
Makonda ni shujaaa.....very creative.
huwa simkubali bashite, lakini kwa hili la landrover, nina uhakika CHADEMA wengi sana hawajafurahia, mioyo itawauma mwezi mzima. ameshaishika Arusha kaiweka mfukoni, hata akiondoka, impact tayari. arusha ile ya lema sio hii, watu wanaonekana wana furaha, badala ya kuwaza maandamano, wanawaza furaha. povu ruksa.
 
Hii nchi watu wanawekwa mfukoni kirahisi hivyo? Hatari
 
arusha yote sasaivi huwaambii kitu kuhusu bashite, na kura zote zitaenda ccm. kuna wakati nadhani watanzania tuamke, siasa zetu badala ya kuelekeza kwenye vyama vya upinzani, tupambane na mafisadi wakiwa hukohuko ccm. kwa kutumia mitandao na njia zingine za amani. mimi huwa sio muumini wa fujo, ila hoja.

kutegemea sana chadema, wamekuwa wakitusaliti sana. na majimbo yao yote wao wananawiri ila wananchi hawapati kitu. kupanga ni kuchagua. unfortunately.
 
huwa simkubali bashite, lakini kwa hili la landrover, nina uhakika CHADEMA wengi sana hawajafurahia, mioyo itawauma mwezi mzima. ameshaishika Arusha kaiweka mfukoni, hata akiondoka, impact tayari. arusha ile ya lema sio hii, watu wanaonekana wana furaha, badala ya kuwaza maandamano, wanawaza furaha. povu ruksa.
Makonda ni mfano wa uongozi katika taifa letu...ila kutokana na siasa matope la wana taifa ili,hata akishusha mana kutoka kutoka mbinguni watasema imechacha.
A leader by example, long live Makonda.
 
huwa simkubali bashite, lakini kwa hili la landrover, nina uhakika CHADEMA wengi sana hawajafurahia, mioyo itawauma mwezi mzima. ameshaishika Arusha kaiweka mfukoni, hata akiondoka, impact tayari. arusha ile ya lema sio hii, watu wanaonekana wana furaha, badala ya kuwaza maandamano, wanawaza furaha. povu ruksa.
haya ndio matukio yanayotakiwa kupewa kipaumbele sio kila siku vurugu tu
 
Back
Top Bottom