LGE2024 Arusha: Lema aagiza kufukuzwa kwa Wanachama waliofanya fujo uchaguzi wa CHADEMA

LGE2024 Arusha: Lema aagiza kufukuzwa kwa Wanachama waliofanya fujo uchaguzi wa CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Kumeanza kuchangamka huko Arusha

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini Godbless Lema, ameagiza wanachama wote waliofanya fujo wakati wa zoezi la uchaguzi wa ndani wa chama hicho uliofanyika mkoani humo kufukuzwa uwanachama.
 
Siasa za tz wahuni wengi saana hatuwezi kutoboa na hawa polisi wa tz jamani wanajidhalilisha yaani wengi ni makada wa CCM mimi naona wote tuhamie CCM sasa tuone kitakachotokea au mnasemaje wadau??,kwa sababu naona CCM hawaelewi kabisaa siasa ni fitina tyu.
 
Jamaa dikteta sana, bora tubaki na zimwi litujualo, na tulijualo (CCM),yaani ameshatoa hukumu kabla ya kuwasikiliza, sasa kazi ya kamati ya nidhamu ni nini?
 
CCM wapo tayari kutumia fursa yoyote itakayo jitokeza ili kuwavuruga CHADEMA
Kama CHADEMA ni wajinga wa kutoelewa hili na kuwa tayari kukabiliana nalo watasumbuliwa sana.
 
Back
Top Bottom